Jinsi ya kumchuna mwanamke

Jinsi ya kumchuna mwanamke

wacha weee, mimi sitoagi hela utakimbiaaaa

teh teh
Utazitoa bila kuombwa maana nitakukuna vizuri mno hadi ufikie kiwango chako cha juu cha raha ambayo hujawai experience.
 
Mtoa mada utakua mtu wa pwani! Wanaume wa ukweli kazi yao ni kutafuta ridhiki halali na kugegeda kwa ufasaha pia! Mademu wakiwaita mabinti wenzao mnakasirika! Shauri zenu

Narudi kijijini
Sio Ridhiki ni Riziki

Sukari Yenu
 
Utazitoa bila kuombwa maana nitakukuna vizuri mno hadi ufikie kiwango chako cha juu cha raha ambayo hujawai experience.
nahisi wa level yako ndio utakaoweza kuwadanganya,

beta rejea my account and check who you are charting with and come up with a concrete conclusion
 
Dah siku ukimwambia nakuacha anaanza kukudai hela zake zote me ishanitokea hiyo

Post sent using JamiiForums mobile app
Me nshanyang'anywa hadi simu, sitafanya tena ujinga wa kutumia kitu cha mwanamke au pesa zake.
 
Sipendi umario mimi duh! umario na upunga ni kama chupi na tako tu, kutegemea mwanamke aisee Mungu aniepushie mbali

Sent from my Nokia-toch using JamiiForums mobile app
Hakika mkuu uko sahihi, bora ufanye kazi hata ya kuosha vyombo kwa mama ntilie upate riziki yako, ila sio umario.
 
nahisi wa level yako ndio utakaoweza kuwadanganya,

beta rejea my account and check who you are charting with and come up with a concrete conclusion
Tena wewe ndio utahonga bila hata kuombwa. Naexperience nanyie sana saivi
 
Back
Top Bottom