mr vata
JF-Expert Member
- Jan 30, 2017
- 465
- 616
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naona unakosea, wapo wachache mkuuBado tupo wengi sana.
wacha weee, mimi sitoagi hela utakimbiaaaaAlafu wewe unanihitaji nikufurahishe
Sio Ridhiki ni RizikiMtoa mada utakua mtu wa pwani! Wanaume wa ukweli kazi yao ni kutafuta ridhiki halali na kugegeda kwa ufasaha pia! Mademu wakiwaita mabinti wenzao mnakasirika! Shauri zenu
Narudi kijijini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Sipendi umario mimi duh! umario na upunga ni kama chupi na tako tu, kutegemea mwanamke aisee Mungu aniepushie mbali
Sent from my Nokia-toch using JamiiForums mobile app
Asante mkulu..Sio Ridhiki ni Riziki
Sukari Yenu
nahisi wa level yako ndio utakaoweza kuwadanganya,Utazitoa bila kuombwa maana nitakukuna vizuri mno hadi ufikie kiwango chako cha juu cha raha ambayo hujawai experience.
Me nshanyang'anywa hadi simu, sitafanya tena ujinga wa kutumia kitu cha mwanamke au pesa zake.Dah siku ukimwambia nakuacha anaanza kukudai hela zake zote me ishanitokea hiyo
Post sent using JamiiForums mobile app
Hakika mkuu uko sahihi, bora ufanye kazi hata ya kuosha vyombo kwa mama ntilie upate riziki yako, ila sio umario.Sipendi umario mimi duh! umario na upunga ni kama chupi na tako tu, kutegemea mwanamke aisee Mungu aniepushie mbali
Sent from my Nokia-toch using JamiiForums mobile app
ok continue dreaming and all the bestTena wewe ndio utahonga bila hata kuombwa. Naexperience nanyie sana saivi
Hakika mkuu, binafsi kumtegemea mwanamke naona noma sana!Hakika mkuu uko sahihi, bora ufanye kazi hata ya kuosha vyombo kwa mama ntilie upate riziki yako, ila sio umario.
What Sky? Come and protect me, I'm also endangeredWanaume Tanzania wamekuwa endangered species