Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,375
- 6,958
Pesa hulainisha uke.
Heee!!
Wanawake wenyewe hawa wa leo ndugu yangu?! Hawa wanowaza haki sawa, usawa, "kujitambua" n.k... dhidi ya wanaume kila wakati?
Waondoe kwanza mizigo waliyonayo, akilini, mioyoni na mwilini.
Akili zao ziwaze kuwa wao ni wanawake.
Mioyo yao ikubali kumpenda waliyeamua kuolewa nae.
Miili yao waiweke tayari kwa ajili waume waliowaoa.
Wake wakitimiza haya, watafurahia tendo vizuri tu hata kama wameolewa na muokota makopo ama mzoa taka ambaye kauvundo hakaishi mwilini mwake.
Jukumu la kujiandaa kiakili, kiafya na kihisia kwa ajili ya kufanya mapenzi ni la kwao wenyewe.
kuathirika na nini...?
Niamini Mkuu Kwa asilimia kubwa sana ......japo haitogonga 100.....Mwanamke akihudumiwa hakuna ukavu kuleWaulize wenye Pesa watakuambia
kuna vitu hajajua amekaa kishamba sana...😂
Naomba hicho kifungu cha sheria kinachosema huwezi funga ndoa na mtu alieathirikaSheria za nchi Huwezi funga Ndoa na Mtu aliyeathirika.
Niamini Mkuu Kwa asilimia kubwa sana ......japo haitogonga 100.....Mwanamke akihudumiwa hakuna ukavu kule
Waite wanasheria,Naomba hicho kifungu cha sheria kinachosema huwezi funga ndoa na mtu alieathirika
Niwaite ili iwe nini.. wakati wewe ndo unatwambia kuna sheria toa evidence/ utuelezee hicho kifungo otherwise kama hukijui unadanganya ummaWaite wanasheria,
Nafikiri hujanielewa.MWANAMKE kama humfikishi Kileleni au hafikishwi Kileleni lazima adai Haki Sawa yàani 50*50
😀😀 so hawa wanawake wanaodai 50*50 kwenye elimu, siasa, umiliki wa ardhi, fursa za kiuchumi hawafikishwi kileleni? Au?MWANAMKE kama humfikishi Kileleni au hafikishwi Kileleni lazima adai Haki Sawa yàani 50*50
umeniwahi, mm nilitaka kumuuliza, huu waraka ni kwa ajili ya hawa wanawake wanaoishi kwenye sayari inayoitwa dunia au ni kwa ajili ya wanawake waishio sayari nyingine?Sijaisoma.
Ila unaongelea hawa hawa wanawake wa vikoba, sacos, kausha damu au ni wengine ?
Niwaite ili iwe nini.. wakati wewe ndo unatwambia kuna sheria toa evidence/ nikuulize hicho kifungo otherwise kama hukijui unadanganya umma
😀😀 so hawa wanawake wanaodai 50*50 kwenye elimu, siasa, umiliki wa ardhi, fursa za kiuchumi hawafikishwi kileleni? Au?
Tutie kambi wote pacha wangu,,, 😂🥰Natia kambi hapa...
Nafikiri hujanielewa.
Mwanamke akitarajia kufika kileleni kwa juhudi za mwanaume pekee ataishia kuhangaika sana kwa wanaume kukitafuta hicho kilele!
Ndiyo maana wanawake wake za watu siku hizi wanakamuliwa vibaya sana! Wanatafuta vilele huku wao wenyewe wakiwa hawako tayari kimwili, kiakili na kihisia.
Ingekuwa ulichoandika hapo ni dawa ya mwanamke kweli, basi asilimia 99 wangekuwa wameridhika.
Huwajui wanawake wewe, haswa wa toleo hili la sasa!