Jinsi ya kumfanya Mwanamke akuheshimu pasipo kumshurutisha

Kambi ya fisi jirani kabisa na ile stoo ya mkaa njia ya kuelekea kuvuka mto Ngarenaro kisha unatokezea Matejoo huko ndipo home kwangu mkuu 😁

Lazima tunafahamiana, unamjua Alex yule mtukutu sijui alifungwa? Au Richard Macho giza, Festo, au Kwa Mpare muuza maziwa? Au mpare muuza mkaa?
 
Lazima tunafahamiana, unamjua Alex yule mtukutu sijui alifungwa? Au Richard Macho giza, Festo, au Kwa Mpare muuza maziwa? Au mpare muuza mkaa?
Yelo acha kuharibu uzi, nitaanzisha uzi wa kuhusu hao jamaa kisha nitakutag, ila kwa sasa tubaki na mada yetu iliyopo mezani kwa huu uzi.
 
Kwa hii mada badili hilo jina, unatuzalilisha vijana wa kambi ya fisi
Acha bangi we chalii, hujui kuwa nipo hapa kuwaamsha walio lala.

Mna heshima gani kula bange na kukaba watu usiku?

Jifunze kitu hapa uwe mtu mpya.
 
Wanaume wote ndivyo walivyo umbwa... Labda kama wewe bado ni mvulana...elewa kwanza
Ningekuwa mvulana nisingeanzisha uzi wa kuwaamsha wanaume waliolala na kushindwa kuimarisha mahusiano yao na wenzi wao.

Narudia tena kusema Usijumuhishe wanaume wote kuwa wameumbwa hivyo, ni heri useme baadhi yao wapo hivyo.
 
mwanamke anamheshimu mtu kwa vigezo vikuu vitatu mwenye uwezo wa uchumi, mwenye power katika jamii na mwisho mwenye upeo na maarifa ya kumlinda emotionally and physically yaani kumridhisha kimwili na kumpatia uzazi.
Hicho ulichoelezea ni hicho ya mwisho peke yake.

Na hivi vyote mwanaume anavitafuta kwa muda na kuvipata kwa uzoefu haviji burebure.
 
Tuishi nao Kwa akili tu mwanaume anahitaji pengine vitu kama 3 tu kutoka Kwa mwanamke , ila mwanamke anavyovitaka kutoka Kwa mwanaume ni unlimited!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…