The tolerance 1
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 404
- 517
Hili nalo ni la kutazamwaMkuu umeshaungua nn!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili nalo ni la kutazamwaMkuu umeshaungua nn!?
Umeshakutana nayo huko?Hakika mapenzi ni matamu sana.
Poleee, usiwawekee vinyongo mkuu.Mwanaume uwe na hela.sio kila siku sina hela.hata kama utakuwa mzuri kiasi gani amini usiamini kuna heshima hutopata.
Na hata hii si kwa wanaume ndugu yangu.hata Kwa wanawake pia.kama huna kitu mkononi hata mwanaume hakupi heshima anakuona huyu nae atanipiga mizinga tu.umasikini unaumiza,unatenga,hauwezi kusikilizwa,umasikini unatesa vibaya.
Pesa sio kila kitu lakini inaongeza heshima mahali fulani,inakukutanisha na watu fulani na mengineyo.
Kuwa na kitu cha kujiweza wewe mwenyewe kwanza.
Umesikini ulinitesa sana,ulininyong’onyeza,ulinitenga na watu na wengine ni ndugu wa karibu nami,umasikini ni mbaya.
Ila Mungu Kwa kuwa hatokei mkoa wowote hubariki
Fact, iko hivi heshima ya Mwanamke utaipata ikiwa utafanya yafuatayo;Napingana na wewe pesa sio kila kitu
Juzi juzi tu hapa tumetoka kushuhudia ndoa za matajili wa wakubwa zimevunjika na wanapesa za kutosha mfano Bill gate na wengine wengi.ukichunguza watu wenye pesa hawana muda na wapenzi wao they so busy kutafuta pesa na siku zote ukae ukijua mapenzi yana nafasi yake katika maisha ndio maana watu wenye pesa hawadumu katika ndoa.
Case closed.Yote haya inategemea umepata mwanamke wa aina gani. Kama ni mwelewa na mwenye exposure ukimtendea haya aisee mtakuwa washikaji sana na wenye ndoa yenye furaha. Vinginevyo utaishia kuitwa boya tu maana wenzetu hawa hawajawahi kueleweka hasa wanataka nini [emoji16]