Jinsi ya kumfanya Mwanamke akuheshimu pasipo kumshurutisha

Poleee, usiwawekee vinyongo mkuu.
 
Fact, iko hivi heshima ya Mwanamke utaipata ikiwa utafanya yafuatayo;
1. Muheshimu
2. Pesa uwe nazo lakini zitumie vizuri namaanisha kwa malengo na sio ufujaji mfano huna kiwanja unahonga gari, huna kitanda unahonga laki Moja atakuona huna akili
3. Mnunulie zawadi lakini sio za gharama kubwa ila zenye upendo
3. Jiheshimu, hapa maana yake uwe na mipaka na simamia miapaka yako mfano. Akionesha dharau mwambie ukirudia nasepa ,na akirudia sepa usiangalie nyuma
4.Uwe na future inayoeleweka mfano ,fanya kazi ,pambana sana hata kama huna mshahara mkubwa we pambania future....jaman kwanini asikuheshimu huyo.....❤️❤️
 
Case closed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…