Jinsi ya kumfanya Mwanamke akuheshimu pasipo kumshurutisha

Hakika mkuu. Mtu unamuheshimuu, then booom unajua ni ccmπŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™† heshima yooote inayeyuka.
Hao ccm wasiojiheshi wasahau kuheshimiwa, hata kama watajiita waheshimiwa hawata mheshimiwa
 

Hela, nyingine chachandu
 
Walisha tuambia tutafute hela sasa.. shauri yetu....sikio lakufa halisikii dawa
Unaweza kuwa na hela nyingi tu ila usipojiheshimu utapata matokeo yake, wapo waheshimiwa wengi tu wenye pesa ila dharau zao huwafanya wakose furaha ktk ndoa zao.
 
Tena mtafute kwa nguvu
Ila mkumbuke hela na nguvu za kiume ni maadui dada zetu.. ukipata hela unakosa nguvu za kiume ..ukiwa na nguvu za kiume hela hauna.. yani basi tuu...lakini tuishi tuu hivyo hivyo
 

Kwa hizi kanuni? He he he, labda ukaoe hulo Tandahimba vijijini, kwa mjini, utapigwa matukio mpaka ushangae
 
I
Ila mkumbuke hela na nguvu za kiume ni maadui dada zetu.. ukipata hela unakosa nguvu za kiume ..ukiwa na nguvu za kiume hela hauna.. yani basi tuu...lakini tuishi tuu hivyo hivyo
zo nguvu pelaka shamban
 
Unaweza kuwa na hela nyingi tu ila usipojiheshimu utapata matokeo yake, wapo waheshimiwa wengi tu wenye pesa ila dharau zao huwafanya wakose furaha ktk ndoa zao.
Ukiona mtu anazo hela na haeshimiki na mkewe.. mchunguze vizuri utakuta hana nguvu za kiume....amini na waambieni
 
huko siji...hayo mambo yenu ya 50/50 komaen nayo tu,wafulien had teitei hao muwapendao mkidhan ni kuboresha mapenz,hakika yote hayo ni kujilisha upepo...hawana shukrani hao viumbe
Ulikimbilia pluto baada ya kujiepusha nao au umeenda huko kufanya utafiti?
 
Kwa hiyo umekubali kuwa hela sio solution ?

Hela ni nguzo, ni sawa kusema ili uunge nyama waitaji: nyanya, vitunguu, source, tangawizi, vitunguu swaumu etc, hayo ndo umeyasema wewe, ila bila Nyama utaunga nini? Hela ndo nyama au msingi wenyewe wa heshima, halafu ndo hizo zingine.
 
Kwa hiyo umekubali kuwa hela sio solution ?
Wamejiwekea hela kama solution na security kwao huku wanajua kabisa nguvu za kiume zipo.. wamesahau ukiwa na hela nguvu zinakimbia za mnyanduano.. na ukiwa na nguvu za kiume hela zina kimbia... Yani ni maadui hela na nguvu za kiume hazikai pamoja... Na hivyo ndivyo wanaume tulivyo umbwa
 
Yani wewe ni kijana wa kambi ya office ngarenaro au kwingine? Maana haya maandiko yako ni tofauti kabisa na watu wa matejoo huku kwa wapika gongo
Kambi ya fisi jirani kabisa na ile stoo ya mkaa njia ya kuelekea kuvuka mto Ngarenaro kisha unatokezea Matejoo huko ndipo home kwangu mkuu 😁
 
Mkuu sema usemavyo ila mwisho kabsa mchawi pesa.
Imeisha hiyooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…