aaah maisha yote yanatawaliwa na kila kitu,kidogo au kikubwa kwako au kwa mwenzako au kwa wote, msaada mkubwa unaohitajiwa ni mawazo ya kushauriana, wengine wanajikuta jela katika mambo ya mapenzi, wengine wanajikuta ni wakimbizi suala ni hili hili na wengine suala jingine dogo au kubwa lakini duniani hakuna dogo, tunashauriana ili kutengeneza angalau akili itulie, isipotulia. tatizo kubwa hutokea wengine ndio huchukua kamba ndefu akajinyonga mwenyewe. hili halifurahiwi na ndugu zake, halifurahiwi na marafiki na hata taifa, anaweza akawa huyo alojinyonga ndio alikua akinisaidia mimi kila baada ya mwezi au wiki anapojinyonga nikaathirika mpaka kufikia kupoteza maisha chukulia aliejinyonga ni daktari, hakuna dogo duninai yote ni makubwa na mazito, hata kama unyoya au ukanda wa sufi ni mzito tena mzito saaaaan