Jinsi Ya Kumsahau Ex Wako

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Hizi mada za WATOTO wa Chuo na waajiriwa wapya from school...

Wengine siye tupo kutafuta new "SHORT-TERM ADVENTURES" with no ties included...

Maana ukishauzoea mlio wa ngoma hata kucheza nako unapata uvivu...
 
Cha kufanya ni kujipa muda peke yako kwanza.
Alafu angalia malengo yako, na kitu unachohitaji kwa mwanamke wa kuishi naye.
Kisha angalia kati ya hao wawili nani anakaa vizuri katika malengo yako na sifa za unayemuhitaji.

Kuna muda ex unayempenda ni kwa sababu tu mlikaa muda mrefu na ndo mahali ulipozoea.
Wala hakua na mchango mkubwa kwenye maisha yako. Ila unakuta hana sifa za kuwa naye.
Usimrudie ex sababu ya mazoea, au ila kaa chini uanzie kuangalia malengo yako na mahitaji yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…