Rocky City
JF-Expert Member
- Nov 22, 2017
- 892
- 683
@thebook nimeshidwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Jaribu tuone...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@thebook nimeshidwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Jaribu tuone...
Weka nafasi baada ya the halafu book@thebook nimeshidwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
@the bookWeka nafasi baada ya the halafu book
Huyu hapa mwingine imemgomea@shombe la kisomali
Nimeshidwa mkuu cc:radika
Ukiandika jina usiache space yani @ibanane na jinaNimeshidwa mkuu cc:radika
Hapo penye nione ungeweke space kisha Shombe la KisomaliHata mm pia nione@shombe la kisomali
Labda nimuite @ mshanaHapo penye nione ungeweke space kisha Shombe la Kisomali
Sasa hiyo @ ilitakiwa ibanane na mshanaLabda nimuite @ mshana
Mkuu na hapa bado tu @ radikaHakikisha unaandika jina vizur hivi Mshana Jr yapo kwenye data base za jf ni rahisi ku display
Mkuu unafanya utani sasa hapo kwenye @ lifuate jina usiruke yani usiache nafasi bananishaMkuu na hapa bado tu @ radika
Yani mbele ya @usiache nafasiMkuu na hapa bado tu @ radika
Mkuu mbona nakuwa ndezi sasa radikaYani mbele ya @usiache nafasi
Andika hivyo uone nilivyobananisha kama hapo juu