Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa mkuu.Andika @ hii halafu andika jina la huyo member bila kuacha nafasi.
Shombe la Kisomali
@demi mbona mimi inagoma mkuu?Andika @ hii halafu andika jina la huyo member bila kuacha nafasi.
Shombe la Kisomali
Lengo na nia yako ya kufuata watu pm ni nini?Naomba mnisaidie pia jinsi ya kuedit au kubadili avatar natamani sana niweke picha kwenye avatar yangu na kumfata mtu private kupitia private message naomba msaada pia ndugu zangu
Hongera umeweza. Ila fanya hiyo @ isionekane@demi mbona mimi inagoma mkuu?
Bado sijaweza ndiyo maana hiyo @ inaonekana!Hongera umeweza. Ila fanya hiyo @ isionekane
BehaviouristBado sijaweza ndiyo maana hiyo @ inaonekana!
Wewe umewezaaaaaa![emoji1][emoji1][emoji1]Behaviourist
Na mie kumbe sijui