Jinsi ya kumtag Mtu ndani ya JamiiForums

Jinsi ya kumtag Mtu ndani ya JamiiForums

Naomba mnisaidie pia jinsi ya kuedit au kubadili avatar natamani sana niweke picha kwenye avatar yangu na kumfata mtu private kupitia private message naomba msaada pia ndugu zangu


ngoja nikusaidie..bonyeza hapo panapotakiwa kuweka picha..wataabdika edit avatar... ndo itakpeleka kama ni kwenye galleryyako ya simu au upige direkt....
kuedit kama umekosea kuandika ukishamaliza hapochini kbs kuna neno limeandikwa edit,delete...bonyeza edit...then edit then save!
kwenda pm bonyeza jina la mtu unayetaka kwenda pm kwake...zen start conversation..kila la heri
 
aya NAHUJA avater yako inamaana gani?
1538720109751.png

Mimi hapo nikiwa na mashost zangu
 
Back
Top Bottom