Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Naomba mnisaidie pia jinsi ya kuedit au kubadili avatar natamani sana niweke picha kwenye avatar yangu na kumfata mtu private kupitia private message naomba msaada pia ndugu zangu
chaoka chediDah imekubali aisee sijui nakosea wapi...
uko upande upi hapo NAHUJAView attachment 887186
Mimi hapo nikiwa na mashost zangu
Ahaaa kumbe huyo wa Mwisho mwisho.......[emoji15] [emoji15]Mrembo kuzidi wengine woteππππ
hahahah, uko sahihi kuuliza mkuu Pr cureAhaaa kumbe huyo wa Mwisho mwisho.......[emoji15] [emoji15]
Nimekoma kuuliza visivyo nihusu [emoji28] [emoji28] [emoji2]
Aah mi chanihera mwai....chaoka chedi
Abeeeee, Labeka, niko hapa
ππππ na wewe ndio umejifunza ee?
Asante wakuu na mie ndo nimejua leo big up Shombe la Kisomali
View attachment 887186
Mimi hapo nikiwa na mashost zangu
Kama hivi NAHUJAAndika @ hii halafu andika jina la huyo member bila kuacha nafasi.
Shombe la Kisomali
yaani hajar acha tu hata mimi nilikuwa sijui ndo nimejua sasa nikaamua kujaribu kabisaππππ na wewe ndio umejifunza ee?
Duuh! Pole aisee.yaani hajar acha tu hata mimi nilikuwa sijui ndo nimejua sasa nikaamua kujaribu kabisa
poapoa best yanguHaya ushajua sasa uwe unatag watu πππ