Wew yupi kati ya hao wa watatu? Nimependa jinsi mlivo nataka nikufahamu nije kutoa mahari kabisa maana naona mmeumbika watoto wasuriAbeeeee, Labeka, niko hapa
@shombe la kisomaliNimeweza AiseeH.. Raha sana maana nikionaga tu watu wanatagiana humu
Mbona kwangu inagoma @hajutaAsante sana mkuu, nimeweza