Jinsi ya kumtambua mtu anayeendesha gari ya shemeji yake

Nlivokuwa nikiendesha gari ya baba zamani kuna baadhi ya tabia nlikua nazo full,kma hyo ya kushusha vioo,kulazimisha masela wakuone na kwenda kwa masela kupiga story alafu ushuki ndani ya gari..!!
 
Umenikumbusha mbali sana kipindi nipo darasa la tano sista la saba kuna kijamaa form one nilikihisi kinamlamba sista akija home na backel me naichukua naenda kuvitembelea videm vyangu nikifika Shemeji zangu nao wanachukua baskel sijui nao wanaenda wap.
Ha, ha, ha. Nimechekaje!
 
Aisee kama unatokea kilimanjaro mimi dio nlikuwa nakuja na baiskel kwenu. Aaaa shemejii
 
Eeehh leo usingeweza kulala bila kuwapa vidonge vyao:what: tumechoka mzeee wakalaleee haooo
 
Kama mtu anamkanyaga dada sharti nichezee gari yake. Eboh
 
Umenikumbusha mbali sana kipindi nipo darasa la tano sista la saba kuna kijamaa form one nilikihisi kinamlamba sista akija home na backel me naichukua naenda kuvitembelea videm vyangu nikifika Shemeji zangu nao wanachukua baskel sijui nao wanaenda wap.

Nilikua mimi,nakukumbuka sana dogo ulibyokua unanitesa,nikisimamisha tu baskeli kumsalimia dada ako unatimka nayo.
 
Mbona mimi siku hizo za nyuma akija msela home kumfuata sista wangu nilikuwa naboreka sana hata hamu ya kuchukuwa chombo chake sikuwa nayo!!
 
Nlivokuwa nikiendesha gari ya baba zamani kuna baadhi ya tabia nlikua nazo full,kma hyo ya kushusha vioo,kulazimisha masela wakuone na kwenda kwa masela kupiga story alafu ushuki ndani ya gari..!!
Ha ha ha! I admire your honesty. Haka katabia ni common mno aisee kwa baadhi yetu
 
Msela wangu alikuwa anapiga misumari gari ya shemeji kila akija kwa dadake
 
wakati mwingine wanaweka nne kwenye gari, kama hivi..
avatar213652_2.gif
 
kwani kuna ubaya gani shemeji kuendesha gari langu au mimi kurndesha gari lake??? ninafahamu watu wengi tu mimi.nikiwa mmojawapo ambao sio shida kwangu kuendesha gari la shemeji yangu au mimi kuendesha la kwake. sioni ubaya wowote na kwa sisi waafrika tena wasukuma ni sawa na ni heri kabisa maana pia inasaidia kutambua kuwa una watu waliokuzunguka na wewe ni mmojawapo.

mbona wengi tu wakesomeshwa na mashemeji??? na wengine wamelelewa na shemeji... ubaya uko wapi??? viburi vingine hata sio, na tabia zingine za kukariri sio sawa. kwa mfano mimi nahitaji gari na siku hiyo langu liko mbali au sina, la shemeji lipo, what are you expecting??? mie shemeji yangu yeyote aliyeapa kanisani kwa ndoa takatifu namheshimu na kumthamini kama ninavyomuheshimu na kumthamini ndugu yangu yeyote yule.
 
unajua vijana wa siku hizi hawajui maisha.mbona watu wengi wamekulia kwa shemeji na saa hizi wana maisha yao. wamesoma,wamekula na wameendesha magari ya shemeji.kuna ubaya gani? kuna siku niko na rafiki yangu tunatoka bagamoyo kufika maeneo ya tegeta kuna vijana na ki altezza chao wakataka kuchomekea jamaa akabana,

mmoja wao akafungua kioo akamwambia yule rafiki yangu 'ndio matatizo ya kuendesha gari ya shemeji'. gari yenyewe ilikuwa VITS, sasa mimi na jamaa tukacheka coz jamaa nyumbani kaacha VW Touareg na Mark X!!! Kwahio maneno kama haya ndio kawaida sana ya vijana wa siku hizi wakishapata vigari vyao wanaona mwingine gari kaazima sio lake kisa haendeshi wanavyopenda wao!
 
wengi wao hugeuka madereva wa shemeji zao.
 
MCHUNGUZI HURU

Hahahahahaaaaaaa yaani mkuuu kusoma tu heading nimecheka sanaa...
Ni kweli kabisa ata mimi nimesha kutana na wa hivyo...
Akiwa amempeleka shem wake job akiwa anarudi ananiambia napita apo sasa ivi nina ishu na wew nisubirie apo njian akija hana la maan ni gari tuu kaja kunidolishia...mweeeeeeeee sasa ngoja ukute hana gani anapita mbaliii
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom