Aisee kama unatokea kilimanjaro mimi dio nlikuwa nakuja na baiskel kwenu. Aaaa shemejii
Haya mbwashee umesikika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee kama unatokea kilimanjaro mimi dio nlikuwa nakuja na baiskel kwenu. Aaaa shemejii
Hiyohiyo roman ya pili mkuu.wamezid.mtu yuko ndani ya gar.badala afungue sauti ya radio kwa ajil yake,anafungua mpk mtaa wa pili.ahsante mkuumkuu mbona hakuna namba pale?
Naona roman tu..:becky:
Aisee wanakeraa! Kumbe ndo hawaaaa!
Juzi mtu kanishambulia mitusi hamu sina, kisa nimechelewa kidogo kuiona ya kijani!
Acha kabisa...kuna mwingine juzi kati, alikuwa nyuma yangu. Kwenye hicho kipande cha barabara tulikuwa wawili tu na yeye, mie gari ikanizimikia. Khaaa....alinipigia mihoni na mitaa kama vile nilikuwa dhambini. Wakati alikuwa na uezo wa kuovateki na kwenda zake....Alivyonipita huo mkao wake tu kwenye gari utafikiri upinde wa mshale.....
Hahahahahaaaaaaa yaani mkuuu kusoma tu heading nimecheka sanaa...
Ni kweli kabisa ata mimi nimesha kutana na wa hivyo...
Akiwa amempeleka shem wake job akiwa anarudi ananiambia napita apo sasa ivi nina ishu na wew nisubirie apo njian akija hana la maan ni gari tuu kaja kunidolishia...mweeeeeeeee sasa ngoja ukute hana gani anapita mbaliii
ha ha ha eti upinde wa mshale
unajua vijana wa siku hizi hawajui maisha.mbona watu wengi wamekulia kwa shemeji na saa hizi wana maisha yao. wamesoma,wamekula na wameendesha magari ya shemeji.kuna ubaya gani? kuna siku niko na rafiki yangu tunatoka bagamoyo kufika maeneo ya tegeta kuna vijana na ki altezza chao wakataka kuchomekea jamaa akabana,
mmoja wao akafungua kioo akamwambia yule rafiki yangu 'ndio matatizo ya kuendesha gari ya shemeji'. gari yenyewe ilikuwa VITS, sasa mimi na jamaa tukacheka coz jamaa nyumbani kaacha VW Touareg na Mark X!!! Kwahio maneno kama haya ndio kawaida sana ya vijana wa siku hizi wakishapata vigari vyao wanaona mwingine gari kaazima sio lake kisa haendeshi wanavyopenda wao!
Nlivokuwa nikiendesha gari ya baba zamani kuna baadhi ya tabia nlikua nazo full,kma hyo ya kushusha vioo,kulazimisha masela wakuone na kwenda kwa masela kupiga story alafu ushuki ndani ya gari..!!