Jinsi ya kumtambua mtu anayeendesha gari ya shemeji yake

mkuu mbona hakuna namba pale?
Naona roman tu..:becky:
Hiyohiyo roman ya pili mkuu.wamezid.mtu yuko ndani ya gar.badala afungue sauti ya radio kwa ajil yake,anafungua mpk mtaa wa pili.ahsante mkuu
 
Aisee wanakeraa! Kumbe ndo hawaaaa!
Juzi mtu kanishambulia mitusi hamu sina, kisa nimechelewa kidogo kuiona ya kijani!


Acha kabisa...kuna mwingine juzi kati, alikuwa nyuma yangu. Kwenye hicho kipande cha barabara tulikuwa wawili tu na yeye, mie gari ikanizimikia. Khaaa....alinipigia mihoni na mitaa kama vile nilikuwa dhambini. Wakati alikuwa na uezo wa kuovateki na kwenda zake....Alivyonipita huo mkao wake tu kwenye gari utafikiri upinde wa mshale.....
 
We utakuwa huna gari.., mbona mi huwa napenda kuweka mziki mkubwa na gari ni langu.., hapo unasemaje
 

ha ha ha eti upinde wa mshale
 

ha ha ha
 
Ni dhambi kumdhania mtu anaendesha la shem wake eti sababu kaweka kishoka au sauti ya juu. In life never underestimate a person you dont know.
 
ha ha ha eti upinde wa mshale


Ndugu yangu wee...kuna watu wana mbwembwe na usukani bwana...yaani wanajua kujipinda haswa na usukani ulivyoshikwa sasa...Mpaka unajiuliza hivi likitokea la kutokea dereva huyu ataweza kuhimili kweli?
 

kweli kabisa mkuu, vijana wajifunze
 
Nlivokuwa nikiendesha gari ya baba zamani kuna baadhi ya tabia nlikua nazo full,kma hyo ya kushusha vioo,kulazimisha masela wakuone na kwenda kwa masela kupiga story alafu ushuki ndani ya gari..!!

Haaa haa haaa yani umenilenga! Mi kama wanachuo wenzangu hawakuniona lazima niwapigie honi na kuwapa lifti!...ushamba bhana!
 
😑😑😑😑😑😑😑
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…