Kuna wengine ni pretenders anaweza kukutambulisha had ndugu fake, na mkapanga mikakati na yet akawa tapeli,
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha papuchi inagafutwa kwa hali na mali mama
Ni kweli sisi n waongo,tena wasanii wa hatari,nawashauri dada zangu kuwa kuolewa hyo n haki yenu,tatizo lenu nyinyi mnawaza sana kutaka kuolewa mpaka mnatupa mbinu za kuwagegeda vzur,ndo maana tunawatangazia ndoa feki,mkipendana ktk mahusiano msiwazie ndoa na wala msitulazmishe tuje kujitambulisha makwenu,tulia na msome mwenzio kwanza,maana huwez kuolewa mpaka jamaa akupitie,hzo mnazotuambia hatufany mpka ndoa bac msubiri muolewe na wachungaji tu,
Hizo ulizotaja juu n uongo wa mwanamme ambae hajui kuongopa,anaejua kuongopa huja had kwenu na kishika uchumba anatoa au had pete atakuvalisha na atalia kama yule mgogo(hilo choz utahisi anakupenda kumbe anakuonea huruma tu),baadae humuoni utakaa na pete mpka itaota kutu,mkiingia kwenye mahusiano msikimbilie kutaka kuolewa,tukiamua tutawaoa doooooooh
Huwa mnakosea mnajitaftia mabalaa ya karma siku ukimpata bebe wako wa serious anakuumiza. Usione wadada wakimbilia wazee sababu ni hzo walah
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua nini wadada wataenda kwa wazee.. Na mwisho wa siku watarudi tu kwa nguvu kazi...
Nyie ni kuku wetu.. Manati ya nini.?
Wee kuna mda Binti hutaka security ya life, pia asikudaganye mtu hata watu wazima wanajua sana, vijana full stress
Sent using Jamii Forums mobile app
Sa nikisema nataka hio utanipa au utaishia kunitusi tu?Wewe sema nataka hichi sio kujichumia dhambi kwa Binti au si bora ukanunue machangu. Tatizo watizii wengi tu napenda uongo hatuhiti point woooi
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba unitapeli mimi plsKuna wengine ni pretenders anaweza kukutambulisha had ndugu fake, na mkapanga mikakati na yet akawa tapeli,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaa sasa ukihurumia kila mtu inakuwaje hapoSa nikisema nataka hio utanipa au utaishia kunitusi tu?
Utaenda peponi kama Yesu. Tuangalie tu utaratibu mzuri wa kusaidiana. Mtu kaomba kwa unyenyekevu na kawa mkweli kabisa. Sasa shida ipo wapi kumtimizia haja yake, au ndio tunarudi palepale kwa mwanamke bila kumdanganya haelewi!?
Hivo vya kudaganyana labda matineja sasa watu wazima unadaganya ili iweje aisee, hafu mbona kuna k wana date waume za watu na wanajua. Nyie hujitaftia mabalaa kwa uongo wenuUtaenda peponi kama Yesu. Tuangalie tu utaratibu mzuri wa kusaidiana. Mtu kaomba kwa unyenyekevu na kawa mkweli kabisa. Sasa shida ipo wapi kumtimizia haja yake, au ndio tunarudi palepale kwa mwanamke bila kumdanganya haelewi!?
Sasa ili ukweli uwe unatumika ni vyema muanze kuwa wepesi kuelewa mnapoambiwa ukweli!Hivo vya kudaganyana labda matineja sasa watu wazima unadaganya ili iweje aisee, hafu mbona kuna k wana date waume za watu na wanajua. Nyie hujitaftia mabalaa kwa uongo wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndio wakati ambao vidume hula kilaini sanaKatika jambo ambalo wanawake hupitia wakati mgumu ni katika kipindi cha kutaka aolewe,maana hana uhakika ni yupi muoaji na yupi muonjaji, poleni sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha....hii hata kwa wanaume, ukiwa desperate unaweza ukaopoa li-vampire moja hivi hadi ukajuta.Na ndio wakati ambao vidume hula kilaini sana
walilogwa zamani siku hizi ni mapinduzi ukiloga ndo unapenda zaidi ya mwanzo....... chips mayai ni dawa sana kwa wanaume wanaologwa. nikikupata tu nakupa chips mayai, hapo huniwezi loga mpaka upinduke. ndo kwanza naoa mwingine bila kificho..... af mnapenda sana kula chips.
ha ha ha basi sawawalilogwa zamani siku hizi ni mapinduzi ukiloga ndo unapenda zaidi ya mwanzo....... chips mayai ni dawa sana kwa wanaume wanaologwa. nikikupata tu nakupa chips mayai, hapo huniwezi loga mpaka upinduke. ndo kwanza naoa mwingine bila kificho..... af mnapenda sana kula chips.
kurupuka tu kwani nani atajua? tatizo lenu mnapenda kujionyesha eti umeolewa na matarumbeta mnawakoga rafiki zenu.ambao hawajaolewa.Ndoa sio jambo lakukurupukia aisee, na wengi hufikiria ndoa ndo kuna raha kumbe ni kama muendelezo wa mahusiano tu
Sent using Jamii Forums mobile app