Jinsi ya kumtambua mwanaume ambaye si muoaji

Jinsi ya kumtambua mwanaume ambaye si muoaji

Hahaha katika harakati za ukombozi na kutafuta papuchi...

Salute
Ni kweli sisi n waongo,tena wasanii wa hatari,nawashauri dada zangu kuwa kuolewa hyo n haki yenu,tatizo lenu nyinyi mnawaza sana kutaka kuolewa mpaka mnatupa mbinu za kuwagegeda vzur,ndo maana tunawatangazia ndoa feki,mkipendana ktk mahusiano msiwazie ndoa na wala msitulazmishe tuje kujitambulisha makwenu,tulia na msome mwenzio kwanza,maana huwez kuolewa mpaka jamaa akupitie,hzo mnazotuambia hatufany mpka ndoa bac msubiri muolewe na wachungaji tu,
Hizo ulizotaja juu n uongo wa mwanamme ambae hajui kuongopa,anaejua kuongopa huja had kwenu na kishika uchumba anatoa au had pete atakuvalisha na atalia kama yule mgogo(hilo choz utahisi anakupenda kumbe anakuonea huruma tu),baadae humuoni utakaa na pete mpka itaota kutu,mkiingia kwenye mahusiano msikimbilie kutaka kuolewa,tukiamua tutawaoa doooooooh
 
Unajua nini wadada wataenda kwa wazee.. Na mwisho wa siku watarudi tu kwa nguvu kazi...
Nyie ni kuku wetu.. Manati ya nini.?
Huwa mnakosea mnajitaftia mabalaa ya karma siku ukimpata bebe wako wa serious anakuumiza. Usione wadada wakimbilia wazee sababu ni hzo walah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaaa sasa ukihurumia kila mtu inakuwaje hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Utaenda peponi kama Yesu. Tuangalie tu utaratibu mzuri wa kusaidiana. Mtu kaomba kwa unyenyekevu na kawa mkweli kabisa. Sasa shida ipo wapi kumtimizia haja yake, au ndio tunarudi palepale kwa mwanamke bila kumdanganya haelewi!?
 
Hivo vya kudaganyana labda matineja sasa watu wazima unadaganya ili iweje aisee, hafu mbona kuna k wana date waume za watu na wanajua. Nyie hujitaftia mabalaa kwa uongo wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivo vya kudaganyana labda matineja sasa watu wazima unadaganya ili iweje aisee, hafu mbona kuna k wana date waume za watu na wanajua. Nyie hujitaftia mabalaa kwa uongo wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ili ukweli uwe unatumika ni vyema muanze kuwa wepesi kuelewa mnapoambiwa ukweli!
 
Dada pole sanaa naona umeandika kwa uchungu kweli. Tutafika lakini, cha muhimu ni uhai tu.
 
Wanawake wa sasa utoto mwingi,analia njaa unamtumia pesa anadai hajaiona unamchek wakala kumuuliza nini tatizo anakupa mpaka ushaidi usio na shaka fedha imemfiki kisha anakwambia ndo michezo yao hao m*laya amekutana na kesi nyingi kama hizo kisha anakushauri umpotezee hajielewi.

Sasa unaanzaje kutangaza ndoa kwa mfano???
 
ndio mana mnalogwa nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
walilogwa zamani siku hizi ni mapinduzi ukiloga ndo unapenda zaidi ya mwanzo....... chips mayai ni dawa sana kwa wanaume wanaologwa. nikikupata tu nakupa chips mayai, hapo huniwezi loga mpaka upinduke. ndo kwanza naoa mwingine bila kificho..... af mnapenda sana kula chips.
 
ha ha ha basi sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa sio jambo lakukurupukia aisee, na wengi hufikiria ndoa ndo kuna raha kumbe ni kama muendelezo wa mahusiano tu

Sent using Jamii Forums mobile app
kurupuka tu kwani nani atajua? tatizo lenu mnapenda kujionyesha eti umeolewa na matarumbeta mnawakoga rafiki zenu.ambao hawajaolewa.
 
Back
Top Bottom