Jinsi ya kumtambua mwanaume ambaye si muoaji

Jinsi ya kumtambua mwanaume ambaye si muoaji

Mimi Uncle wangu alitoa mpaka Mahari , ex shangazi ndio akakubali kumpa mzigo . Uncle alipokula tu mzigo siku hiyo hiyo alimpiga chini na mahari hakudai hata mia mbovu. Sasa hivi ameoa mwanamke mwingine kabisa na wamezaa na Watoto. Wanaume hawakadiriwi kirahisi hivyo! Yupo tayari atumie gharama yoyote ili atimize azma yake hasa ya kula papuchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kuwaza mbinu ya kututeka we unatafuta mbinu ya kutopanuliwa mapaja kirahisi mutahishia humu humu MMU
 
Back
Top Bottom