Kabla ya kumtambulisha mtoto wa kambo, Mimi naona inategemea huyo mkeo yukoje!(elimu,uzoefu,Umri, uvumilivu wake wa mambo mbalimbali) vitakusaidi ku predict the effect. Halafu pia inategemea huyo mtoto wa nje ulimpata kabla ya kuoa au ndani ya ndoa yake.Vinginevyo itakuwa ngumu.
Just imagine, Waislamu wanasema ukitembea na mke wa mtu, ili uweze kusamehewa dhambi zake ni lazima ukakiri mbele ya yule mume wake kuwa umezini na mkewe na unaomba msamaha huku ukiwa unamkabidhi Panga. Kama ni ngumu jua dhambi zako Hazisameheki.