The Who
JF-Expert Member
- Mar 23, 2018
- 527
- 878
Hapana....naamini katika mapenzi ya kweli.
ila siamini katika mapenzi bila pesa mkuu
Pesa hizi hizi za kuhudumia au unazungumzia zile Huge COLD CASH
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana....naamini katika mapenzi ya kweli.
ila siamini katika mapenzi bila pesa mkuu
Umemuongelesha nini?? Usije kuwa umeuliza mvua imenyesha hukoNi mekwama master kila nnacho muongelesha hajibu
Katika jamii huwa hawakosekani watu ambao wako nje ya normal distribution. Negative skewHapana....naamini katika mapenzi ya kweli.
ila siamini katika mapenzi bila pesa mkuu
Kwanza lazima uestablish physical contactKapita mrembo mzuri Anaendesha Gari Binafsi Nimevutiwa nae, Vipi Mkuu Nifanyaje Au Nimkimbilie Kwa Miguu Maana Hata Baiskel sina.
Hizi hizi za kuhudumia mkuu.Pesa hizi hizi za kuhudumia au unazungumzia zile Huge COLD CASH
Yeah...ndio maana kuna Yes na No, A na B, Oppose and ProposeKatika jamii huwa hawakosekani watu ambao wako nje ya normal distribution. Negative skew
Ni sehemu ya ubinadamuYeah...ndio maana kuna Yes na No, A na B, Oppose and Propose
Inawezekana maeneo aliyopo sio conducive
HahahahahahaNi sehemu ya ubinadamu
Basi angalia vizuri atakuwa na bwana akeSafarini kwenye Basi
🤣🤣🤣🤣Hahahahahaha
Haya bhana
Senior naliiiCheo chako mleta mada
Nikajua mwalimuSenior naliii
Ngoja nimalize kupika nije hapa....naogopa kuunguza chakula ndio maana nakuja kwa kuvizia mkuu.🤣🤣🤣🤣