Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
kabla sijaendelea na mengine mleta mada una undugu na lemutuz au ww ni lemutuz mwenyewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahhahaaaa, we jamaa phala sanaBila kuwa na pesa, sawa na kumtia dole shoga hadharani
Ndio maana nikasema kuna tatizo la kutokujiaminiWanaume wa siku hizi haswa vijana wa mjini, akiona mwanamke mzuri tu amsemeshi pale pale, atamuangalia jinsi alivyo na kumfuatilia baada ya siku kadhaa. Kabla ya hapo, atasuka nywele kwanza, atoboe masikio, akanunue suruali inayobana mapumbu na isiyoifika matakoni, yaani haistili matako yake ili avae mlegezo, atatoboa pua, kisha atapaka lipstick. Akijiangalia kwenye kioo akiona anafanana na mwanamke ndipo ataenda kumtokea huyo demu na mapozi ya kibongo fleva, atajifanya anabana pua kuongea broken English ya wamarekani weusi na lafudhi ndeeeefu isiyoeleweka, huku akibinya mapumbu. Kicheko kinakuja pale anapotolewa nje na huyo demu, ghafla anarudi katika hali yake ya kawaida na sauti yake ya kawaida inarudi na kuanza kumkashifu bi dada, malaya gani wewe kwanza sijuwi ukoje, katika mademu we ni demu? Hivi tujiulize, mwanamke gani mwenye akili timamu anayetaka kutoka na mwanamme anayefanana kama demu au mwanamme asiyejitambua?
Sasa hii ni akilikabla sijaendelea na mengine mleta mada una undugu na lemutuz au ww ni lemutuz mwenyewe?
dont take it too personal ..nimeona hilo jina la mobimba datz why nimeuliza mkuuSasa hii ni akili
Ni joke tu...dont take it too personal ..nimeona hilo jina la mobimba datz why nimeuliza mkuu
pamoja mkuuNi joke tu...
Mie bidada jamanihahahahahhahaaaa, we jamaa phala sana