Jinsi ya kumwambia mpenzi anayetoa harufu mbaya ukeni

Aache kuvaa suruali. Na chupi aivae tight, ziwe zile zenye kuruhusu hewa kupita. Bila hivyo hata akitumia dawa gani hatoacha kunuka
 
Tatizo siyo kuoga ni uvaaji wa kijinga. Nenda kijijini kama utakuta wanawake wananuka, maana huko uvaaji ni kanga na wakati mwingine bila hata chupi. Maumbile ya mwanamke yameumbwa kujisafisha yenyewe wala hayahitaji mikogo na mwanamke hata asipooga siyo sababu ya kunuka. Kinachoharibu ni maisha ya kujifanya sijui kusugua na dodoki mara sabuni etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…