Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,771
- 14,129
Aache kuvaa suruali. Na chupi aivae tight, ziwe zile zenye kuruhusu hewa kupita. Bila hivyo hata akitumia dawa gani hatoacha kunukaUkijua mpenzi wako anatoa harufu kali na mbaya ukeni kwake ila unampenda, utatumia akili gani kubwa kumwambia ili akuelewe na asiumie ili ajirekebishe?
Huku Zanzibar ninapoishi na yalipo makazi yangu siku zote nimempata rafiki wa kike, ila ana hiyo changamoto kubwa.