Jinsi ya kumwambia mpenzi anayetoa harufu mbaya ukeni

Jinsi ya kumwambia mpenzi anayetoa harufu mbaya ukeni

Ukijua mpenzi wako anatoa harufu kali na mbaya ukeni kwake ila unampenda, utatumia akili gani kubwa kumwambia ili akuelewe na asiumie ili ajirekebishe?

Huku Zanzibar ninapoishi na yalipo makazi yangu siku zote nimempata rafiki wa kike, ila ana hiyo changamoto kubwa.
Aache kuvaa suruali. Na chupi aivae tight, ziwe zile zenye kuruhusu hewa kupita. Bila hivyo hata akitumia dawa gani hatoacha kunuka
 
Mjengee mazoea ya kuoga pale mnapofika rum hata kama amjaanza chochote aoge au muogeshane mkimalza show anyanyuke akajioshe na kuoga pia then kwa jukum lako kama mwanaume mtafutie vi chup vya cotton na sio izo za 1500 somo likimwingia mwambie atumie na dawa za fungus na ma uti ila usmwambie unanuka utamnyima comfdes sku zote za mahusiano yenu
Tatizo siyo kuoga ni uvaaji wa kijinga. Nenda kijijini kama utakuta wanawake wananuka, maana huko uvaaji ni kanga na wakati mwingine bila hata chupi. Maumbile ya mwanamke yameumbwa kujisafisha yenyewe wala hayahitaji mikogo na mwanamke hata asipooga siyo sababu ya kunuka. Kinachoharibu ni maisha ya kujifanya sijui kusugua na dodoki mara sabuni etc
 
Back
Top Bottom