Jinsi ya kung'arisha nyota yako

Jinsi ya kung'arisha nyota yako

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Posts
5,002
Reaction score
4,571
Ikiwa ni mapenzi yako katika kujaribu kwenda kung'arisha au kutakasa nyota yako kwa mnajimu yoyote yule basi kuna mambo ni muhimu na unatakiwa kuyazingatia unapokwenda huko ili uweze kupata hitaji lako.

download.jpg

IPO HIVI:
Yeyote kati yenu atakapoenda kutaka kusafishwa nyota kwa mtu yoyote yule basi aende akiwa na backup ya mambo yafuatayo;
  • Ahakikishe kwanza anaemfata anajua vema kuhusu nyota za watu kulingana na imani zao.
  • Ajulikane ana nyota gani na ina tabia gani?
  • Siku nzuri kwake ni zipi na mbaya ni zipi?
  • Asili ya nyota yake ni ipi?
  • Tabia ya nyota yake ni Ipi?
  • Maada ya nyota yake ni Ipi? (Hili ni la kuzingatia zaidi MAJI,UPEPO,MOTO,UDONGO)
  • Nyota yake inang'arishwa kwa mlango upo? (ambao yeye akiona mafanikio ndio atajua nyota imeng'aa
  • Ascendant yake ni Ipi?
  • Descendant yake ni ipi?
  • Sharif yake ni ipi?
  • Nuksi yake ni ipi?
  • Direction yake kinyota ni ipi?
  • Milango yake imekaa vipi?
  • Malaika wa nyota yake ni yupi?
  • Jini wa nyota yake ni yupi?
  • Shetani wa nyota yake ni yupi?
  • Nyota yake kwa muda huo ipo usawa gani?
  • Cusps na decanates zake zipo vipi?
  • Indication ya nyota yake ni ipi?
  • Daraja la mwezi kwa nyota yake ni lipi?
  • Daraja la sayari kwa nyota yake ni lipi?
  • Amjuze alipotoka, alipo na anapokwenda? (Na ziwe acumulate na yeye)
  • Ajue afinity zake?
  • Angles zake ni vipi?
  • Amtajie na thamani ya nyota yake na uwezekano wa kung'aa?
  • Nini kinaweza kuboost nyota yake? (Madini,Vito,Mawe n.k)
Kama akiweza kutambua hayo na kuwambia basi mtangulize Mungu kwa imani yako na utasaidika hapana shaka lakini kama hatokwambia yote haya huyo uliyemfuata.
Basi fahamu kabisa kuwa hawezi kukusafisha nyota yako zaidi ya kukupa jini au uchawi ambao utakusukuma kwa muda fulani uone mafanikio kisha utaharibikiwa ili urejee tena kumpelekea pesa na atakugeuza kitega uchumi.

Mtaniwia radhi sihitaji quotes za watu hapa inayosema udini au damu kuwa maji na maji kuwa damu. Nyota ni maarifa kama ilivyo maarifa mengine ya kibinadamu.

Wewe ni Mkali na unajua hubahatishi mwamba
 
Mwamba uko vizuri sana kama vile umewahi fika sayari zingine au unazijua sana elimu ya jua na mwezi
 
Kila mtu ana elimu aliyokadiriwa na mwenyezi Mungu mkuu, huenda ipo elimu ambayo wewe unayo mimi sina pia ndio maana kuna kutegemeana katika mazingira.
 
Nyota ni jinsi unavyohusiana vyema na Mungu Muumba wako kiimani na kivitendo tu, nnje ya hapo ni.........

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kila mtu anaamini uwepo wa Mungu na kila mtu ni mwenye kupenda kuwa na mahusiano mema na Mwenyezi Mungu hivyo hakuna mtu anaekupinga katika hilo mtumishi/mtakatifu vyovyote vile cheo unachojipa kulingana na akili yako. Lakini ukweli ni kwamba thread na quote yako ni vitu viwili havifanani. Na kama haitoshi Nyota ina maana yake na pia Mungu ana mahala pake na sheria zake sasa wewe ulokole usikuvuruge akili kiasi cha kwamba inafikia sehemu hata hujui unachokiandika na unaandika wapi.

Sasa
Nyota ni jinsi unavyohusiana vyema na Mungu
Hiyo ni maana ya nyota au ni usingizi unakusumbua sasa hivi?

Muumba wako kiimani na kivitendo tu
Hiki nacho umeandika nini?

nnje ya hapo ni.........

Na huu ni upuuzi gani?
Makala husika ipo kwenye habari na hoja mchanganyiko ifikie sehemu kabla hujachangia jambo usilolijua ni bora kukaa kimya tu maana muda mwingine mtu unajibu vitu kwa matumizi mabovu ya akili.
Mwenyezi Mungu atakujalia akili kwanza kisha umjue vizuri mkuu. lakini kama quote yako imechanganyika na usingizi uniwie radhi kusema umekurupuka.

Rakims
 
Hiii takataka unataka kuaminisha watu, wewe ni kigagula na mwizi ,uko hapa kutaka kuaminisha wenye upeo mdogo uwaibie , mwizi mkubwa wewe mbulula
 
Haijarishi ni nini utasema.. Lakini haita badiri maana kuwa wewe ni Mpumbavu sema kila utakachosema haitabadiri maana kuwa wewe ni Mpumbavu

Rakims
Naongezea wewe ni mpuuzi na kigagula mshenzi
Wewe ni mbulula
Miaka yote uko humu kujaza watanzania ujinga
Hii dalili wewe ulikuwa kilaza shuleni sasa umeangukia kwenye huu ulozi na pia huna shughuli ya maana kimaisha zaidi ya kushinda humu kundeleza huu utopolo kudanganya jamii na hizi pumba,na kama inayoonekana kwa jinsi ya mitanzania kuwa asilimia kubwa ya mbulula kama wewe inaamini huu upuuzi.
 
Mark my words Son... When you grow up you will remember and understand.

Rakims
 
Mkuu Rakims Mimi nakuhusudu Sana na kipaji chako na elmu uliyokuwa nayo.
Huwezi amini nimeanza kukufuatilia tangu mwaka 2017 na namba zako za simu ninazo kitambo Sana.
Haja yangu kubwa kuja ofisini kwako ili niweke mambo yangu vizuri ila changamoto kubwa kwangu kila nikipanga na nikipata pesa basi huwa either najisahau au nikikumbuka najisemea tu moyoni hii pesa haitatosha pengine kuna masuala mengi ya kuhitajika pesa kwahiyo naacha najisemea kuwa siku nikipata ya kutosha nitakuja.
Lakini tuombeane dua ALLAH atupe wepesi katika Yale tunayoyahitaji.(insha'Allah)

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Kila kitu na wakati wake... mwenyezi Mungu akijalia kheri ifike kwako itafika tu..

Rakims
 
Back
Top Bottom