Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,979
- 3,105
Bahati nzuri mi naimba naye kwaya, so amenifundisha. Kama hutojali naweza kukufundisha pia. [emoji41]
Mamaaaa!!!! Wakati anakufundisha mchungaji aliwaona??? Maana hii ni elimu kwa vitendo, ngoja nikanunue mshumaa na uzi na superglue kabisa alafu nije ila darasa litakuwa hapa hapa kwa faida ya wote.