FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Siku nyingine jengo likianguka na watu kunaswa kwenye underground, njia rahisi ya kuwatoa kwa haraka ni kuchimba shimo pembeni ya jengo (barabarani), kisha lilishafika kina cha usawa wa underground, inachimbwa tunnel itakayowekwa precast culvert za zege kuelekea kwenye jengo, kisha pipe za Oxygen zitapitishiwa hapo kwa muda wakati zoezi la kuwatoa kupitia kwenye tunnel likiendelea.
Hii ni njia rahisi zaidi kwa sababu ukiwatoa kwa juu itabidi ufanye taratibu sana ili jengo lisiendelee kuporomoka na kuleta madhara, na ni njia amabyo inaweza kuchukua hata wiki 2 kabla hujawafikia wale wa chini kabisa. Muda mwingine viongozi watumie akili zao kwenye kutatua matatizo badala ya kusifia tu Mama muda wote..