Jinsi ya kuokoa watu toka kwenye underground ya ghorofa lililoanguka ndani ya masaa mawili

Jinsi ya kuokoa watu toka kwenye underground ya ghorofa lililoanguka ndani ya masaa mawili

Siku nyingine jengo likianguka na watu kunaswa kwenye underground, njia rahisi ya kuwatoa kwa haraka ni kuchimba shimo pembeni ya jengo (barabarani), kisha lilishafika kina cha usawa wa underground, inachimbwa tunnel itakayowekwa precast culvert za zege kuelekea kwenye jengo, kisha pipe za Oxygen zitapitishiwa hapo kwa muda wakati zoezi la kuwatoa kupitia kwenye tunnel likiendelea.

Hii ni njia rahisi zaidi kwa sababu ukiwatoa kwa juu itabidi ufanye taratibu sana ili jengo lisiendelee kuporomoka na kuleta madhara, na ni njia amabyo inaweza kuchukua hata wiki 2 kabla hujawafikia wale wa chini kabisa. Muda mwingine viongozi watumie akili zao kwenye kutatua matatizo badala ya kusifia tu Mama muda wote..

View attachment 3154386
Hilo wazo liliwahi kutmika Geita Kuna shule ilibainika Kuna Dhahabu gafla police na migambo wakatia team eneo Hilo kulinda lakini wazawa wazalendo wakafili nje ya kizibo wakaanza kuchimba pembeni mashimo ya panya na wakakatuna na mkanda mambo yakawa saf
 
Hiyo ni njia ya kuokoa basement! Chukulia Benjamin tower likititia, aliyeko gorofa ya 23 atatolewaje?


Punguzeni ushauri WA kijinga. Waliopo kariakoo ni wabobezi WA uokozi toka jwtz na zimamoto na uokozi.


Walionaswa kwenye kifusi wamebanwa tu, hawajaumia ndo maana wanachati na kuredi TikTok.

Kuna makomando wamewafikia na walioko hai watatoka hai usihifu, ukiwatoa kwa kukurupuka utaangamuza waokoaji na wahanga wenyewe.

Picha zimeshachuliwa na waliopo chini wanaonekana .
Kwa ghorofa kama hizo, njia zote zinafanyika in duality
 
Yote hayo huzingatiwa, hasa suala la ‘Fire escape routes’, ni critical design feature
 
Kariakoo barabara za ndani inapita gari moja tu, ukichimba tena hiyo barabara unaongeza ugumu wa kazi.
Barabara za kariakoo zimebana ila sio locked, huwa accessible kwa pande zote
 
Back
Top Bottom