kwa mfano juz tumetoka dom njian jamaa mmoja ni afisa wa serikali alitoka dom amekunywa mchemsho wa kuku na chapati tatu ,soda na maji ya uhai lita 1 ,gairo kala chips na mishikaki 5 + soda+maji , msamvu kala juice ya 1 lta ya azam na biscut ya choclate, mizani ya mikese kanunua korosho za buku 3 ,chalinze kanununua mahind ya kuchoma na pepsi baridi wakati tunafika maili moja huyu mheshimiwa kanununua mayai 2 na maji hiv wana jf kweli vitambi vitapungua??
Mie nimeomba nielekezwe wapi naweza pata hizo majani ya chai.hayo ya jogging,maji ya moto sio ninachokitaka.
Naomba mnisaidie nifanye mazoezi ya namna gani ili niweze kukata kitambi na kujenga misuli ya mwili bila ya kwenda Gym,mda wangu wa kwenda Gym hautoshi..Shukrani.
Ukiamka fanya seatups kama mia hv then Kunywa maji ya moto asbh lita nzima ndani tia kijiko 1 kikubwa cha asali na mdalasini pia kijiko asubuhi kunywa chai isiyo na sukari na mkate kipande toasted na nusu yai la kuchemsha na embe nusu,mchana kunywa maji lita mbili na matunda kwa wingi isipokuwa parachichi,ukisikia njaa tafuna raisings(dhabibu kavu) jioni wali size ya ujazo wa kiganja chako na mboga za majani na samaki aliyechemshwa fanya hv kwa wiki 2 tumbo kwisa!!
...na mazoezi ya kutosha hasa ya kukimbia.Ukiamka fanya seatups kama mia hv then Kunywa maji ya moto asbh lita nzima ndani tia kijiko 1 kikubwa cha asali na mdalasini pia kijiko asubuhi kunywa chai isiyo na sukari na mkate kipande toasted na nusu yai la kuchemsha na embe nusu,mchana kunywa maji lita mbili na matunda kwa wingi isipokuwa parachichi,ukisikia njaa tafuna raisings(dhabibu kavu) jioni wali size ya ujazo wa kiganja chako na mboga za majani na samaki aliyechemshwa fanya hv kwa wiki 2 tumbo kwisa!!