Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umekusudia Mnyama yupi wa Taifa? Ng'ombe? Nyama ya Ng'ombe ina madhara bora ule nyama ya kuku kuliko kula nyama ya ng'ombe au Kitomoto nyama zote zina madhara ila nyama ya kuku ndio bora inafaa kuliwa wakati wote mkuu.Mzizimkavu,
Asante kwa darsa,vipi mbona mnyama wa taifa haujamzungumzia kabisa ?.
Mzizimkavu,
Asante kwa darsa,vipi mbona mnyama wa taifa haujamzungumzia kabisa ?.
Nyama ya NguruweMzizimkavu,
Asante kwa darsa,vipi mbona mnyama wa taifa haujamzungumzia kabisa ?.
Pole sana jaribu kunywa maji ya Uvuguvugu yaliyochanganywa na kijiko kimoja cha asali inshallah huta tapika.mi maji nikinywa asubuhi natapika mzizi why?
Jamaa hajaongelea juu ya SAMAKI vipi?
sawa mkuu nitajaribu.maana naona unene unanianDAMA MWENZENU NINA KG 73Pole sana jaribu kunywa maji ya Uvuguvugu yaliyochanganywa na kijiko kimoja cha asali inshallah huta tapika.
Ha ha ha ha haaa mkuu kweli jamaa hajaongelea hiyo kitu bana
Ukishindwa kunywa Maji ya Uvuguvugu na Asali kijiko kimoja na limau moja kubwa wakati wa asubuhi unapo amka kunywa Glasi moja ya Mtindi kila asubuhi mchana na usiku kwa muda wa miezi 6 utapunguwa huo unene.sawa mkuu nitajaribu.maana naona unene unanianDAMA MWENZENU NINA KG 73
Pole sana jaribu kunywa maji ya Uvuguvugu yaliyochanganywa na kijiko kimoja cha asali inshallah huta tapika.
Tukizama kwa makini tutaona ya kwamba Dini zote zimeharamisha nguruwe. Mfano tazama katika Biblia (Agano la Kale), Kitabu cha Walawi: "Na nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hachuei; kwenu
huyo ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama zao wala msiguse mizoga yao" (11: 7 - 8). Na katika Kitabu cha Isaya: "Mwenyezi Mungu asema hivi: 'Wapo watu waaojitakasa na kutawadha wapate
kuingia katika bustani za ibada za sanamu; wanafanya maandamano na kuhani akiwa kati yao. Watu hao hula nguruwe, panya na vyakula vingine haramu'"(66: 17).
Na katika agano jipya, Yesu anasema: "Msidhani kuwa nimekuja kutangua sheria na mafundisho ya manabii. Sikuja kutangua bali kukamilisha" (Mathayo 5: 17).
Na Qur-aan ipo wazi kabisa kuwa nyama ya nguruwe haifai kuliwa. Allaah Anasema:
"Yeye Amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilichotajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiyekuwa Mwenyezi Mungu" (2: 173).
Maji ya Uvuguvu ni yale yaliyochemshwa yakapoa kama dakika moja toka yatoke jikoni kwa kizungu wanayaita (Warm Water) kama sijakosea.Mkuu maji ya uvugu vugu unamaanisha yaliyochemshwa yakapoa kidogo au unamaanisha maji ambayo hayajawekwa kwenye jokofu?
limao unakomaa bwana mimi mtoto wa kike atiiukishindwa kunywa maji ya uvuguvugu na asali kijiko kimoja na limau moja kubwa wakati wa asubuhi unapo amka kunywa glasi moja ya mtindi kila asubuhi mchana na usiku kwa muda wa miezi 6 utapunguwa huo unene.