Asante sana mkuu tatizo napenda kushiba itabidi nijitahidi pia nasikia maji moto ni manzuri asante sana pia tuendelee kidogopendelea kunywa maji ya moto, epuka vyakula vya mafuta, kula chakula cha jioni mapema tena usishibe sana, usiku ukisikia njaa kula matunda. I hope tumbo litakua flat kama unavyotaka.
Lol....weweWeka picha kwanza tuone mi kiasi gani uko effected
Weka picha kwanza tuone mi kiasi gani uko effected
AsanteTumbo unaweza ukalipunguza bila mazoezi. Tafuta formula ya moangilio wa vyakula asubuhi ule nini usile nini mchana na usiku. Just a tip. Acha vyakula vilivokaangwa kwa mafuta, punguza wanga sana na sukali. Lisipopungua umelogwa!!
Wanataka picha ya tumbo bila shaka, ila pia nunua mashine ya kufanyia mazoez hata chumbani unafanya hata nusu saa ndo unaenda kazini
Mkuu inapatikana kariakoo maeneo gani?ipo katika hali gani?KUNA DAWA YA UNGA INAITWA VILIALI KARIAKOO IPO UNAWEKA KWENYE CHAI AU MAZIWA NZURI SANA KUONDOA MAFUTA MWILINI
Njoo tuungane gym.....Sawa asante ushauri wako pls mkuu
Habari Cath, Pamoja na ushauri mzuri uliotolewa na wadau na kama kweli unahitaji kupunguza tumbo tuwasiliane kwa whats up tumia namba 0786609030 tuma ujumbe na ujitambulishe kwa kueleza tatizo lako.Habarini wadau naamini hakuna lisiloshindikana katika jukwaa hili mi ni mdada mrembo tu ila Nina tumbo kubwa kidogo nataka niondoe kitambi kabisa tumbo langu liwe flat kama zamani naombeni msaada wenu wa mbinu za kutumia kumaliza hili tatizo.[emoji8]
Mtepeto lol....umenichekeshamkuu kwanza tujue ni aina gani ya kitambi unacho ili tujue matibabu kutokana na aina
[emoji8] [emoji8]Wanataka picha ya tumbo bila shaka, ila pia nunua mashine ya kufanyia mazoez hata chumbani unafanya hata nusu saa ndo unaenda kazini
Hakuna shoti kati katika kutoa kitambi...njia nzuri na ni nzuri kwa afya ni kufanya mazoezi kama wadau wengine walivyopendekeza na kuachana na vyakula vya mkaango na kutokunywa vinywaji vyenye sukari...Sikushauri utumie madawa yeyote utaharibu afya yako...Hizo dawa daktari gani kazipitisha...TBS wamezipitisha ubora wake???Habarini wadau naamini hakuna lisiloshindikana katika jukwaa hili mi ni mdada mrembo tu ila Nina tumbo kubwa kidogo nataka niondoe kitambi kabisa tumbo langu liwe flat kama zamani naombeni msaada wenu wa mbinu za kutumia kumaliza hili tatizo.[emoji8]
Anza na hilo lililo ndani ya uwezo wako. Kunywa maji lita1 au hata nusu lita unapoamka kabla hujaweka kitu mdomoni. Mchana kula kiasi, usiku kula chakula mapema ikibidi kula matunda au chakula kidogo sana, kabla ya kulala kunywa maji tena hata glass moja.Mazoezi gani mkuu muda wote nipo job vyakula vya mafuta kuacha hilo lipo ndani ya uwezo wangu tuendelee wangu
Good msg mkuu nimefurahi sana you know ndo maana nawauliza ni yupi mliewahi kumpa madawa na akafanikiwa hawakuonyeshi hata mmojaHakuna shoti kati katika kutoa kitambi...njia nzuri na ni nzuri kwa afya ni kufanya mazoezi kama wadau wengine walivyopendekeza na kuachana na vyakula vya mkaango na kutokunywa vinywaji vyenye sukari...Sikushauri utumie madawa yeyote utaharibu afya yako...Hizo dawa daktari gani kazipitisha...TBS wamezipitisha ubora wake???
Kalori ambazo mwanamke inabidi ale kwa siku ni 2000 (umri wa miaka 19-30 na kama hufanyi mazoezi) na kama unafanya mazoezi kwa umri huo huo unahitaji kalori 2400....Kama utazidisha kalori hizo kwa siku basi lazima utakuwa mnene!!!
Kuna vitu kama mboga mboga, viazi vitamu ila usiweke mafuta hata ule kiasi gani huwezi kupata unene...Ningekushauri ule sana viazi vtamu zaidi sababu vinajaza tumbo na hutajisikia njaa mara kwa mara...utabaki kunywa maji kwa wingi...Wateja wangu wengi huwa ninawashauri njia hii na wanafanikiwa sana
Kama ingekuwa rahisi kutoa kitambi kwa kunywa dawa basi matajiri wengi na wenye pesa zao usingewaona "wakipoteza" mda wao ktk ma gym....
Sorry kitambi ni dalili ya unene!!! Hebu umewahi kumwona mtu mwenye 6 au 8 packs na ni menée??? Huwezi ukawa na flat stomack kama ni mnene!!! Unene unaanza tumboni baadae hips, mikononi etc....
Hii siyo picha sahihi.
Hebu weka full picha huku umesimama, vaa nguo ya kubana mwili kisha upigwe kutokea pembeni.
Ili niweze kujua tatizo lako ni kubwa kiasi gani, na nitaweza kukupa tiba sahihi zaidi.
Kama ukishindwa kuweka hapa basi nitumie PM pamoja na mawasiliano yako.
Bure kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wewe. One of the best strategy.""kopa mikopo sehemu mbali mbali 3,4 wakianza kukudai tu dawa tayari mbona utapona kabisa""