Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

pendelea kunywa maji ya moto, epuka vyakula vya mafuta, kula chakula cha jioni mapema tena usishibe sana, usiku ukisikia njaa kula matunda. I hope tumbo litakua flat kama unavyotaka.
Asante sana mkuu tatizo napenda kushiba itabidi nijitahidi pia nasikia maji moto ni manzuri asante sana pia tuendelee kidogo
 
Weka picha kwanza tuone mi kiasi gani uko effected
1456425882356.jpg
 
Tumbo unaweza ukalipunguza bila mazoezi. Tafuta formula ya moangilio wa vyakula asubuhi ule nini usile nini mchana na usiku. Just a tip. Acha vyakula vilivokaangwa kwa mafuta, punguza wanga sana na sukali. Lisipopungua umelogwa!!
Asante
 
mkuu kwanza tujue ni aina gani ya kitambi unacho ili tujue matibabu kutokana na aina
 
Attachments

  • 1456426891093.jpg
    1456426891093.jpg
    15.5 KB · Views: 47
  • 1456426955632.jpg
    1456426955632.jpg
    17.9 KB · Views: 49
  • 1456427006401.jpg
    1456427006401.jpg
    17 KB · Views: 50
  • 1456427078261.jpg
    1456427078261.jpg
    19.6 KB · Views: 48
Habarini wadau naamini hakuna lisiloshindikana katika jukwaa hili mi ni mdada mrembo tu ila Nina tumbo kubwa kidogo nataka niondoe kitambi kabisa tumbo langu liwe flat kama zamani naombeni msaada wenu wa mbinu za kutumia kumaliza hili tatizo.[emoji8]
Habari Cath, Pamoja na ushauri mzuri uliotolewa na wadau na kama kweli unahitaji kupunguza tumbo tuwasiliane kwa whats up tumia namba 0786609030 tuma ujumbe na ujitambulishe kwa kueleza tatizo lako.
 
Habarini wadau naamini hakuna lisiloshindikana katika jukwaa hili mi ni mdada mrembo tu ila Nina tumbo kubwa kidogo nataka niondoe kitambi kabisa tumbo langu liwe flat kama zamani naombeni msaada wenu wa mbinu za kutumia kumaliza hili tatizo.[emoji8]
Hakuna shoti kati katika kutoa kitambi...njia nzuri na ni nzuri kwa afya ni kufanya mazoezi kama wadau wengine walivyopendekeza na kuachana na vyakula vya mkaango na kutokunywa vinywaji vyenye sukari...Sikushauri utumie madawa yeyote utaharibu afya yako...Hizo dawa daktari gani kazipitisha...TBS wamezipitisha ubora wake???
Kalori ambazo mwanamke inabidi ale kwa siku ni 2000 (umri wa miaka 19-30 na kama hufanyi mazoezi) na kama unafanya mazoezi kwa umri huo huo unahitaji kalori 2400....Kama utazidisha kalori hizo kwa siku basi lazima utakuwa mnene!!!
Kuna vitu kama mboga mboga, viazi vitamu ila usiweke mafuta hata ule kiasi gani huwezi kupata unene...Ningekushauri ule sana viazi vtamu zaidi sababu vinajaza tumbo na hutajisikia njaa mara kwa mara...utabaki kunywa maji kwa wingi...Wateja wangu wengi huwa ninawashauri njia hii na wanafanikiwa sana
Kama ingekuwa rahisi kutoa kitambi kwa kunywa dawa basi matajiri wengi na wenye pesa zao usingewaona "wakipoteza" mda wao ktk ma gym....
Sorry kitambi ni dalili ya unene!!! Hebu umewahi kumwona mtu mwenye 6 au 8 packs na ni menée??? Huwezi ukawa na flat stomack kama ni mnene!!! Unene unaanza tumboni baadae hips, mikononi etc....
 
Hii siyo picha sahihi.
Hebu weka full picha huku umesimama, vaa nguo ya kubana mwili kisha upigwe kutokea pembeni.
Ili niweze kujua tatizo lako ni kubwa kiasi gani, na nitaweza kukupa tiba sahihi zaidi.
Kama ukishindwa kuweka hapa basi nitumie PM pamoja na mawasiliano yako.
 
Mazoezi gani mkuu muda wote nipo job vyakula vya mafuta kuacha hilo lipo ndani ya uwezo wangu tuendelee wangu
Anza na hilo lililo ndani ya uwezo wako. Kunywa maji lita1 au hata nusu lita unapoamka kabla hujaweka kitu mdomoni. Mchana kula kiasi, usiku kula chakula mapema ikibidi kula matunda au chakula kidogo sana, kabla ya kulala kunywa maji tena hata glass moja.
 
Mkuu mbona uko bomba, hilo tumbo mimi silioni,unataka kujiumiza bure
 
Hakuna shoti kati katika kutoa kitambi...njia nzuri na ni nzuri kwa afya ni kufanya mazoezi kama wadau wengine walivyopendekeza na kuachana na vyakula vya mkaango na kutokunywa vinywaji vyenye sukari...Sikushauri utumie madawa yeyote utaharibu afya yako...Hizo dawa daktari gani kazipitisha...TBS wamezipitisha ubora wake???
Kalori ambazo mwanamke inabidi ale kwa siku ni 2000 (umri wa miaka 19-30 na kama hufanyi mazoezi) na kama unafanya mazoezi kwa umri huo huo unahitaji kalori 2400....Kama utazidisha kalori hizo kwa siku basi lazima utakuwa mnene!!!
Kuna vitu kama mboga mboga, viazi vitamu ila usiweke mafuta hata ule kiasi gani huwezi kupata unene...Ningekushauri ule sana viazi vtamu zaidi sababu vinajaza tumbo na hutajisikia njaa mara kwa mara...utabaki kunywa maji kwa wingi...Wateja wangu wengi huwa ninawashauri njia hii na wanafanikiwa sana
Kama ingekuwa rahisi kutoa kitambi kwa kunywa dawa basi matajiri wengi na wenye pesa zao usingewaona "wakipoteza" mda wao ktk ma gym....
Sorry kitambi ni dalili ya unene!!! Hebu umewahi kumwona mtu mwenye 6 au 8 packs na ni menée??? Huwezi ukawa na flat stomack kama ni mnene!!! Unene unaanza tumboni baadae hips, mikononi etc....
Good msg mkuu nimefurahi sana you know ndo maana nawauliza ni yupi mliewahi kumpa madawa na akafanikiwa hawakuonyeshi hata mmoja
 
FANYA MAZOEZI,
USIPENDE SHORTCUT...

unawezaje kupunguza JITUMBO Kwa kupungiza kula?
huko ni kuudhoofisha mwili mzima..
AM DONE.
 
Hii siyo picha sahihi.
Hebu weka full picha huku umesimama, vaa nguo ya kubana mwili kisha upigwe kutokea pembeni.
Ili niweze kujua tatizo lako ni kubwa kiasi gani, na nitaweza kukupa tiba sahihi zaidi.
Kama ukishindwa kuweka hapa basi nitumie PM pamoja na mawasiliano yako.

Mtongozo wa style ya Azimio la Arusha.
 
Back
Top Bottom