Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Mkuu ukiwa na hela na uwezo wa kula unachotaka unene utakuja tu
Mimi nakula kile ninachojisikia, ila tatizo linakuja pale ninapozidisha kiwango, yaani nikila zaidi ya mara mbili kwa siku ( milo mizito ya kushiba ) huwa naharisha sambamba na kuvimbiwa

hivyo naamua asubuhi napiga chapati tatu nzito nzito zile nashushia na supu, mchana nashtua kiduchu na usiku nashtua kiduchu maana nikisema nishibe nitaishia kuharisha

Pia tumbo langu halina mahusiano mazuri na vyakula vyenye mafuta, yaani hata hiyo supu ya kuku kwa chapati lakini baada ya lisaa limoja lazima nikaharishe kidogo nakua nakata tamaa mapema mno ya kunenepa

Uzito nikinyanyua vyuma Gym huwa unaongezeka kidogo, sasa mimi sitaki kwenda kuyanyua vyuma Gym, nataka kunenepa kidogo
 
Starch + fat ndiyo mpango mzima ongeza na sugar au alcohol

Maana yake ni kuwa kula wali nyama, shushia soda na keki
Jioni ukimaliza kula shusha asas yoghurt
 
Mkuu, samahani, hiyo huduma inapatikana wapi? Gharama zake zipoje na haina side effects zozote?
 
Hapo kwenye wali ndipo ninapofeli
Starch + fat ndiyo mpango mzima ongeza na sugar au alcohol

Maana yake ni kuwa kula wali nyama, shushia soda na keki
Jioni ukimaliza kula shusha asas yoghurt
 
Daah tunatofautiana mnoo..mi binafsi sijisikii poa kuwa na kitumbo flat.. angalau ningekuwa na vinyama kidogo
 
Kama ni flat kifanye kiwe six packs
Mimi mzee wa Tizi na gym mkuu..six pack za kutosha..hata saivi nko nanyanyua chuma. Ila napenda angalau ka tumbo, though nature yangu ni mwembamba
 
Unajua ukiwa mwemba kisha unapiga tizi unakuwa na mvuto flani hivi, kama mimi jamaa zangu wanaingia Gym ili wawe na mwili wa mazoezi kama wangu ila huwa nawaambia tu, "mazoezi ni asili ya mtu, mtaishia kujitesa tu"
 
Tumbo kubwa huwa linahifadhi mafuta tu. Tumbo linakera si kwa mwanamke wala mwanaume. Unanunua nguo ya gharama lakini ukiwa na tumbo nguo haipendezi maungoni.

Njia za kuondoa tumbo badala ya mazoezi na diet kuna gastric bypass operation ya kupunguza mfuko wa chakula tumboni.

Kuna kumeza baloon. Hili huvimba tumboni na matokeo yake huwezi kula chakula kingi.

Kufanyiwa operation ya kuondoa mafuta. Liposuction, mafuta yakishaondolewa plastic surgeon inabidi arekebishe ngozi I nayo hang.

Hii ninayoiongelea leo ni tummy massage. Unalala chali na kufanyiwa massage ya tumbo. Zoezi hili huchukua zaidi ya dakika 60. Massage hii huhitaji mchanganyiko wa mafuta ya Vaseline na olive.

Anaefanyiwa ajiandae kwa kuvaa pichu disposable au nappy. Baada ya dakika 60 hali ya haja kubwa hutokea ghafla.

Ukifanya kwa siku saba utaona matokeo.
sitaki kuwaza Amber Rutty ama James Delicious wakifanyiwa hii massage na hiyo hali ya haja itokee. Maana bila ya rinda lazima amuharishie huyo mfanya massage. Unless afanyiwe chooni.
 
End to end anastomosisi...hii ni ya kupunguza sehem ya utumbo ambayo inahusika na kufyonza chakula..hivyo ni kias kdogo tu cha chakula kitakua absorbed na kingine kuachwa..ni njia nzur na salama sana
 
Tumbo kubwa huwa linahifadhi mafuta tu. Tumbo linakera si kwa mwanamke wala mwanaume. Unanunua nguo ya gharama lakini ukiwa na tumbo nguo haipendezi maungoni.

Njia za kuondoa tumbo badala ya mazoezi na diet kuna gastric bypass operation ya kupunguza mfuko wa chakula tumboni.

Kuna kumeza baloon. Hili huvimba tumboni na matokeo yake huwezi kula chakula kingi.

Kufanyiwa operation ya kuondoa mafuta. Liposuction, mafuta yakishaondolewa plastic surgeon inabidi arekebishe ngozi I nayo hang.

Hii ninayoiongelea leo ni tummy massage. Unalala chali na kufanyiwa massage ya tumbo. Zoezi hili huchukua zaidi ya dakika 60. Massage hii huhitaji mchanganyiko wa mafuta ya Vaseline na olive.

Anaefanyiwa ajiandae kwa kuvaa pichu disposable au nappy. Baada ya dakika 60 hali ya haja kubwa hutokea ghafla.

Ukifanya kwa siku saba utaona matokeo.

Mkuu unaweza kunifanyia hii tummy massage maana hili tambi si mchezo
 
Back
Top Bottom