Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
Mimi nakula kile ninachojisikia, ila tatizo linakuja pale ninapozidisha kiwango, yaani nikila zaidi ya mara mbili kwa siku ( milo mizito ya kushiba ) huwa naharisha sambamba na kuvimbiwaMkuu ukiwa na hela na uwezo wa kula unachotaka unene utakuja tu
hivyo naamua asubuhi napiga chapati tatu nzito nzito zile nashushia na supu, mchana nashtua kiduchu na usiku nashtua kiduchu maana nikisema nishibe nitaishia kuharisha
Pia tumbo langu halina mahusiano mazuri na vyakula vyenye mafuta, yaani hata hiyo supu ya kuku kwa chapati lakini baada ya lisaa limoja lazima nikaharishe kidogo nakua nakata tamaa mapema mno ya kunenepa
Uzito nikinyanyua vyuma Gym huwa unaongezeka kidogo, sasa mimi sitaki kwenda kuyanyua vyuma Gym, nataka kunenepa kidogo