Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

wabongo kwa kukariri[emoji23][emoji23]yaani vyakula hvyo ndo mmekaririshwa toka utotoni.Yaani huwez kila nyama na parachichi ukashiba???[emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nipo hapa nakufuatilia kwa ukaribu sana bibie

Sent from my SM-N910W8 using JamiiForums mobile app
 
Kula matunda kwa wingi
Vyakula vya wanga usile sana mfn nguna
Kunywa maji mengi
Fanya mazoez
Kula vegetables
Usipende kula nyama na vyakula vya mafuta
Thank me later
 
picha?
 
Punguza kula vyakula vya wanga, piga push up ingia utube Kuna video za mazoezi simple ya kupunguza uzito
 
Acha bia
 
Ungetatua Tatizo LA goti...mimi wakati nimeanza mazoezi ya kukimbia nilipata shida ya goti nikatatua kwa kuchua plus kutumia vitamins C supplements na kupumzika kama wiki mbili baada ya Hapo nikarecover hadi Leo nina Miezi 10 nikimbia na kitambi kimekuwa historia
 

Wavivu laiti wangejua miezi miwili ya kwanza tu ndiyo migumu, baada ya hapo results zinaanza kuonekana huwezi kuacha unakua addicted. Hua naona mtu anaenda gym siku mbili miguu inamuuma analia ka mtoto hataki kabisa kurudi πŸ˜‚ Nashangaa sana mtu ambaye hafanyi mazoezi kusema kweli
 
kilichosababisha tumbo kubwa ndicho kitaondoa tumbo kubwa, njia nyingine zote ni kujipa faraja ama matokea ya muda mfupi ila hutoweza kulinda libaki hapo hapo

Chakula ndo kilakitu katika kurekebisha mwili wa kilamwanadamu pia ukiwa unapata muda wa mazoezi ndo kunakusaidia kuimarisha na kuupa mwili ukakamavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…