Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Aceroty unaposema jamii ya sukari unamaanisha hata asali hutakiwi kutumia
Ndio. Sukari ya aina yeyote ile. Miwa,biskuti,azam cola...... Nimeshuhudia watu wengi sana wanafutuka ndani ya muda mfupi(mimi mwenyewe mmoja wapo) kwa kuchanganya chakula kama wali na soda.
Kingine labda ningeongezea, sukari ni sawa na carbohydrates. Kwa maana hiyo vyakula kama wali, ndizi za kupika,makande etc.... hivi vyote inabidi uache kula. Kwa kufanya hivyo hayo mafuta ya kwenye mwili wako yatashuka tu...kuwa na mwili mzuri kunaanzia jikoni.
Mazoezi bila msosi? kama ugali, wali, ndizi, makande etc ni no-no tuwekee basi mlo wako hapa, MONDAY-SUNDAY
Monday-eggs&meat
Tuesday-eggs&meat
Wednesday-eggs&meat
Thursday-eggs&meat
Friday-eggs&meat
Saturday-eggs&meat
Sunday-eggs&meat
Drinks-water:6 to 7 times a day
Monday-eggs&meat
Tuesday-eggs&meat
Wednesday-eggs&meat
Thursday-eggs&meat
Friday-eggs&meat
Saturday-eggs&meat
Sunday-eggs&meat
Drinks-water:6 to 7 times a day
eggs za kisasa? meat je nyekundu au white? inamaana hakuna wanga wiki nzima, tutaiweza bajeti?
Nani amekwambia Kukimbia ni zoezi la wanawake? Hivi unajua(jogging) kuwa kukimbia ni zoezi bora kuliko yote. Chuma kina hypertrophy muscle kwa wingi zaidi. Kuna watu wengi nawajua wanabeba vyuma na wanavitambi. Zungumza kiv ulicho na uhakika nacho! aceroty
Monday-eggs&meat
Tuesday-eggs&meat
Wednesday-eggs&meat
Thursday-eggs&meat
Friday-eggs&meat
Saturday-eggs&meat
Sunday-eggs&meat
Drinks-water:6 to 7 times a day
Nimekuumiza moyo? Pole ndugu eh...pole...beba vyuma kwanza ndio u-comment kwenye hii section. Hao wenye vitambi wana vitambi kwasababu ya vyakula wanavyokula na vinywaji wanavyokunywa baada kupiga tizi na sio sababu nyingine.
ndio maana sasa inabidi mainstractors wasajiliwe...wewe unasema acha kula chakula CHOCHOTE chenye jamii ya sukari umefanya utafiti wa unachokisema kweli? huyo mtu atakula nini labda?
halfu eti kukimbia ni mazoezi ya kike. seriously?
embu rudi kasome hayo madesa yako vizuri kabla hujaandika tena au huyo anaekufundisha mwambie aanze mwanzo