Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Mi nimehamia kwe konyagi bia nimezipiga down,ila ushauri mzuri ndoa yangu ipo mashakani kitambi mpaka nashindwa kupumua ,naanza mchana huu hilo zoeni lakunywa maji moto
 
1.Acha kula chakula chochote chenye jamii ya sukari kwa muda wa wiki 10.

2. Fanya mazoezi kabla hujala kitu chochote mwilini. Dakika ishirini zinatosha. Utachoma mafuta mengi zaidi tofauti na ukifanya mazoezi baada kula.

3. Beba vyuma. Hayo ndio mazoezi yatakayokusaidia kutimiza hilo lengo ndani ya wiki kumi. Kukimbia ni mazoezi ya wanawake.

4. Vyakula vyako vitakuwa ni jamii ya protini na mafuta. Mfano-nyama nyekundu[sio mchuzi wa nyama], mayai ya kuchemshwa,maparachichi,korosho,karanga,kuku(sio wa kukaanga),samaki...............

Najua wengi wenu wa mnaofanya kazi maofisni mnapenda kula mananasi,maembe,matikiti,machungwa,chapati,maandazi,chipsi,chipsi mayai,Pepsi cola, Coca cola,juisi ya matunda iliyojaa sukari,ceres,debonairs,vitumbua n.k..

Watu mnasema mafuta yananenepesha. Kwamba eti binadamu asile nyama nyekundu, au nyama ya aina yeyote ile. Mwili wa binadamu haujatengenezwa kutunza mafuta mwilini. Sema huo mwili wako na wangu unapenda kutunza sukari. Sukari ndio inayotunza mafuta.

Kwahiyo,kwa mfano,kama unakula kitimoto na kushushia na safari moja baridi,elewa kwamba kitambi chako kinatokana na sukari iliyomo kwenye bia. Hiyo sukari ndio itakayotunza hayo mafuta ya kitimoto kwa kiwango kikubwa katika mwili wako. Nimefuata hii protocol kwa muda zaidi ya wiki kumi. Nakuahidi ya kwamba,ukiacha kula sukari ,HAITAWEZAKANA kwa mwili wako kutunza mafuta yaliyopo kwenye ki-pipa chako. Hayo mafuta yatashuka tu.

Kwa msaada zaidi nenda:Getalife.com. Ingia kwenye section ya nutrition na soma kila kitu humo ikiwemo hii post- fat loss diet 101. Huu ndio ushauri nilioufuata mimi na umenisaidia.
 
Mkuu Aceroty unaposema jamii ya sukari unamaanisha hata asali hutakiwi kutumia

Ndio. Sukari ya aina yeyote ile. Miwa,biskuti,azam cola...... Nimeshuhudia watu wengi sana wanafutuka ndani ya muda mfupi(mimi mwenyewe mmoja wapo) kwa kuchanganya chakula kama wali na soda.

Kingine labda ningeongezea, sukari ni sawa na carbohydrates. Kwa maana hiyo vyakula kama wali, ndizi za kupika,makande etc.... hivi vyote inabidi uache kula. Kwa kufanya hivyo hayo mafuta ya kwenye mwili wako yatashuka tu...kuwa na mwili mzuri kunaanzia jikoni.
 
Mazoezi bila msosi? kama ugali, wali, ndizi, makande etc ni no-no tuwekee basi mlo wako hapa, MONDAY-SUNDAY
 
Mazoezi bila msosi? kama ugali, wali, ndizi, makande etc ni no-no tuwekee basi mlo wako hapa, MONDAY-SUNDAY

Monday-eggs&meat
Tuesday-eggs&meat
Wednesday-eggs&meat
Thursday-eggs&meat
Friday-eggs&meat
Saturday-eggs&meat
Sunday-eggs&meat
Drinks-water:6 to 7 times a day
 
eggs za kisasa? meat je nyekundu au white? inamaana hakuna wanga wiki nzima, tutaiweza bajeti?

Monday-eggs&meat
Tuesday-eggs&meat
Wednesday-eggs&meat
Thursday-eggs&meat
Friday-eggs&meat
Saturday-eggs&meat
Sunday-eggs&meat
Drinks-water:6 to 7 times a day
 
Monday-eggs&meat
Tuesday-eggs&meat
Wednesday-eggs&meat
Thursday-eggs&meat
Friday-eggs&meat
Saturday-eggs&meat
Sunday-eggs&meat
Drinks-water:6 to 7 times a day

Hi egg meat siku saba !!!!?
 
eggs za kisasa? meat je nyekundu au white? inamaana hakuna wanga wiki nzima, tutaiweza bajeti?

Hii ni protocol niliyoifuata mimi kulingana na uwezo wangu. Sio lazima uifuate. Dhumuni kuu la mimi kuandika hivyo ni kuonyesha kwamba kwa huo muda wa wiki kumi,sikugusa sukari(carbohydrate) ya aina yeyote ile.
 
Nani amekwambia Kukimbia ni zoezi la wanawake? Hivi unajua(jogging) kuwa kukimbia ni zoezi bora kuliko yote. Chuma kina hypertrophy muscle kwa wingi zaidi. Kuna watu wengi nawajua wanabeba vyuma na wanavitambi. Zungumza kiv ulicho na uhakika nacho! aceroty
 
Last edited by a moderator:

Nimekuumiza moyo? Pole ndugu eh...pole...beba vyuma kwanza ndio u-comment kwenye hii section. Hao wenye vitambi wana vitambi kwasababu ya vyakula wanavyokula na vinywaji wanavyokunywa baada kupiga tizi na sio sababu nyingine.
 
Last edited by a moderator:
Ikiwezekana pata juice ya malimao (Maji ya moto) + Asali kila siku asubuhi (sahau chai kwa muda)
 
ndio maana sasa inabidi mainstractors wasajiliwe...wewe unasema acha kula chakula CHOCHOTE chenye jamii ya sukari umefanya utafiti wa unachokisema kweli? huyo mtu atakula nini labda?

halfu eti kukimbia ni mazoezi ya kike. seriously?

embu rudi kasome hayo madesa yako vizuri kabla hujaandika tena au huyo anaekufundisha mwambie aanze mwanzo
 
carbohydrates & fats ziliwe kwa kiasi kidogo wakati proteins & vitamins zikiliwa kwa wingi bila kusahau maji kwa wingi nayo
 
Nimekuumiza moyo? Pole ndugu eh...pole...beba vyuma kwanza ndio u-comment kwenye hii section. Hao wenye vitambi wana vitambi kwasababu ya vyakula wanavyokula na vinywaji wanavyokunywa baada kupiga tizi na sio sababu nyingine.

sioni sababu ya kuumia moyo. kwa nza sina hicho kitambi. sema vizuri, dawa ni diet na mazoezi tu, tena mazoezi ni bora ni jogging. sio kudanganya watu eti jogging ni kwa wanawake. kwenye military na paramilitary trainings hawafanyi jogging? au nipe scientific facts mi ni mdau wa masula ya afya na mwili wa binadamu, sio umechukua sehemu na kuleta humu. jogging inavishughulisha viungo vyote vya mwili, na inachoma calories nyingi sana kuliko mazoezi mengi. Aceroty
 
ndio maana sasa inabidi mainstractors wasajiliwe...wewe unasema acha kula chakula CHOCHOTE chenye jamii ya sukari umefanya utafiti wa unachokisema kweli? huyo mtu atakula nini labda?

halfu eti kukimbia ni mazoezi ya kike. seriously?

embu rudi kasome hayo madesa yako vizuri kabla hujaandika tena au huyo anaekufundisha mwambie aanze mwanzo

hajasoma huyu,.anatudanganya anadhani kuna vilaza tu humu. aje na facts tuzijadili.
 
Ndio. Sukari ya aina yeyote ile. Miwa,biskuti,azam cola...... Nimeshuhudia watu wengi sana wanafutuka ndani ya muda mfupi(mimi mwenyewe mmoja wapo) kwa kuchanganya chakula kama wali na soda.

Kingine labda ningeongezea, sukari ni sawa na carbohydrates. Kwa maana hiyo vyakula kama wali, ndizi za kupika,makande etc.... hivi vyote inabidi uache kula. Kwa kufanya hivyo hayo mafuta ya kwenye mwili wako yatashuka tu...kuwa na mwili mzuri kunaanzia jikoni.

Nashukru kwa elimu sasa ndugu mbona nitakufa njaa..? angalia menu yangu unishauri otherwise
Asubuhi: chai 1 cup 2vijiko sukari + kitafunwa Andazi au muhogo au viazi vya kukaanga au mayai 2
Mchana: Ugali dona/ Wali + mboga mboga, maharagwe, samaki au nyama
Jioni: Ugali dona/ Wali + mboga mboga, maharagwe, samaki au nyama
Kwa sasa nina 86Kg with 170cm ila nataka nimaintain 80 Kg
 
Back
Top Bottom