Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

KUNA DAWA YA UNGA INAITWA VILIALI KARIAKOO IPO UNAWEKA KWENYE CHAI AU MAZIWA NZURI SANA KUONDOA MAFUTA MWILINI
 
Punguza vyakula vya mafuta.

Zingatia mazoezi.

Acha kutumia madawa ya uzazi wa mpango.

Niendelee?, inatosha
Mazoezi gani mkuu muda wote nipo job vyakula vya mafuta kuacha hilo lipo ndani ya uwezo wangu tuendelee wangu
 
Njia inayojulikana ni mazoezi ( lakini mazoezi inatakiwa yawe endelevu ukiacha kidogo tu na ukajisahau tumbo linakuja x 3 ya mwanzo) na kuna dawa zao za kupunguza tumbo au kupungua jumla,lakini mimi nina wasiwasi nazo kama ni nzuri kiafya.
Mkuu hapo hapo dawa waliniambia zipo green world palmbeach ni hela ndefu kidogo je zinasaidia kweli tumbo litakua flat? Kuhusu mazoezi ngumu kidogo muda wrote nipo dukani labda kusimama simama tuendelee mkuu
 
Back
Top Bottom