Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sinwyi mkuupunguza bia za ofa na makitimoto...!
Maduka yapi kariakoo mkuu na bei gani inauzwa je sio ya kuharisha?KUNA DAWA YA UNGA INAITWA VILIALI KARIAKOO IPO UNAWEKA KWENYE CHAI AU MAZIWA NZURI SANA KUONDOA MAFUTA MWILINI
Napenda sana kula sijui nifanyeje nisipite jikoni tu mkuuwacha kulakula.
swissme
Mazoezi gani mkuu muda wote nipo job vyakula vya mafuta kuacha hilo lipo ndani ya uwezo wangu tuendelee wanguPunguza vyakula vya mafuta.
Zingatia mazoezi.
Acha kutumia madawa ya uzazi wa mpango.
Niendelee?, inatosha
Nampataje mkuu?Muone dr ndondi
Mkuu hapo hapo dawa waliniambia zipo green world palmbeach ni hela ndefu kidogo je zinasaidia kweli tumbo litakua flat? Kuhusu mazoezi ngumu kidogo muda wrote nipo dukani labda kusimama simama tuendelee mkuuNjia inayojulikana ni mazoezi ( lakini mazoezi inatakiwa yawe endelevu ukiacha kidogo tu na ukajisahau tumbo linakuja x 3 ya mwanzo) na kuna dawa zao za kupunguza tumbo au kupungua jumla,lakini mimi nina wasiwasi nazo kama ni nzuri kiafya.
Sawa asante ushauri wako pls mkuuLinaloshindikana......