Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Je kuna tatizo mtu akinywa tangawizi kwa wingi? Mie napenda sana tangawizi iliyochanganywa na asali, naweza kunywa mugs nne kwa siku. Je naweza kudhurika?
Tangawizi ni Dawa nzuri sana hebu soma hapa chini Faida ya Tangawizi

Tangawizi ina faida nyingi kwa binadamu

Tangawizi, (jina kisayansi: Zingiber officinale) ni mizizi ya mimea ya asili ya Asia lakini inalimwa katika West Indies, Jamaica, na Afrika. Ni moja ya mimea ya wengi sana kutumika katika dunia. Kutumika kwa ajili ya maelfu ya miaka ya awali, ilikuwa ni vishawishi na Hispania na Francisco de Mendosa mapema katika 1500 na kutoka huko kwa ulimwengu mpya.

Tangawizi poda linatokana na mzizi kudumu tuber aina (kama viazi) kwamba creeps na kukua chini ya ardhi. bua ina majani mwembamba na kukua kuwa futi mbili mrefu. Katika kuanguka tuber ni kuvuna, kavu, na ardhi katika unga wa mitishamba. Mweusi au

tangawizi coated mizizi maana mara moja scalded (si peeled) baada ya kuvuna. Nyeupe au uncoated tangawizi alikuwa nikanawa na scraped kuzuia kuchipua. Na asingeweza kuyafanya meupe hata zaidi, tangawizi nyeupe ni mara bleached au limed lakini utaratibu huu robs ni ya baadhi ya thamani yake.

Hebu sasa kuona baadhi ya faida ya afya ya tangawizi . Kemikali katika mimea tangawizi kwamba kutoa thamani ni pamoja na mafuta tete (hadi 3%), akridi laini resin, lignin, fizi, Wanga, jambo vegeto, asmazone, asidi asetiki, acetate potasiamu, na sulfuri.

Tangawizi kutachochea hamu ya chakula, kupambana na harufu ya mwili, na kukuza jasho. Ni bora inayojulikana kama dawa za jadi za Asia ya kutibu kichefuchefu. Ina kuondoka ugonjwa wa asubuhi pamoja na kichefuchefu kuhusiana na kidini. Wengine wanasema tangawizi ni bora zaidi katika mwendo relieving ugonjwa kuliko Dramamine.

Tangawizi husaidia kutibu maumivu kwa kuchochea mzunguko wa damu. Kwa sababu hii ni kutumika kutibu magonjwa kama vile syndrome Raynaud na arthritis rheumatoid. Nje tangawizi hufanya nyekundu ngozi.

Tangawizi mara nyingi hutumika katika tiba ya indigestion, rihi, tumbo hedhi na kuhara na akaiondoa dhiki utumbo. Ni bora kwa sababu ni baadhi ya nakala Enzymes digestive kutumika katika mchakato protini mwilini.

Tangawizi ni manufaa kwa moyo pia. Kidogo kama gramu 5 ya tangawizi kavu siku ya kupungua kwa uzalishaji wa triglycerides na LDL (mbaya) cholesterol katika ini. Tangawizi pia kuzuia platelets kutoka sticking pamoja, hali ambayo ingeweza kuongeza hatari ya

moyo mashambulizi au kiharusi.
Kupendekeza baadhi ya tangawizi kwa ajili ya kupunguza dalili baridi tangu itakuwa vyake phlegm katika baridi ya koo na kupambana na kueneza hisia ya joto katika mwili. Nyingi kama kupika na tangawizi kama kiungo au kunywa ni kama chai. kijiko moja ya unga katika mapishi gingersnap kuki ni eda.

Badala ya unga na mizizi, tangawizi unaweza kununua katika Vidonge, pickles, Extracts, na chai tayari ambayo yanaweza kufanywa katika compresses. Baadhi ya tangawizi mbichi kula mizizi, lakini kama wewe, kuepuka ndogo, wrinkled, au mizizi ya laini. Kufanya chai, tangawizi kwa kasi kwa maji ya moto, au tu kwa kunyunyizia juu ya sahani. Kipimo

ilipendekeza ni moja ya tatu ya aunsi ya ya majani tangawizi kwa siku. Na steeping mizizi katika tangawizi moto syrup ulinzi wawe. Unaweza kuhifadhi tangawizi kavu katika friji yako kwa muda mfupi au kufungia kwa muda wa miezi mitatu.

Mimba wanawake wanapaswa kuwa makini kwa overdose ya tangawizi kwa sababu inaweza kuchochea contractions uterine. Watu kuchukua thinners damu, barbiturates, beta blockers-, insulini au kisukari dawa zinapaswa kushauriana na daktari kabla ya kutumia tangu vita tangawizi inaweza na dawa hizi. Tangawizi pia kuingilia kati na ngozi

ya chuma malazi na vitamini mafuta mumunyifu, na tumbo kusababisha upset katika vipimo ya juu. Pia, kwa sababu tangawizi husaidia nyembamba ya damu, ni lazima kuwa kuchukuliwa wiki mbili kabla ya upasuaji.

Tumekuwa tunanufaisha faida ya wengi kwa ajili Tangawizi. Kama Ningependa kwa uzoefu wangu kwa mwenyewe, nakuhimiza kununua na kutumia Tangawizi ni bora katika maisha yako kwa bei nzuri na huduma kwa wateja.

gingerroot.jpg

Asante mzizimkavu, binafsi nitajaribu ila hata mimi maji ya uvuguvugu nakunywa sana lakini sioni tumbo kupungua wala nini, nitajaribu na hayo mengine, Tumbo linanikosesha raha kwakweli!
Kunywa maji ya Uvuguvugu yaliyochanganywa na Asali na kamulia juu yake hayo maji Limau moja kubwa kunywa kila siku Asubuhi unapoamka kabla ya kula kitu kwa muda wa miezi 6 utaona mabadiliko makubwa sana.jaribu hivyo kisha utanipa Feedback.
 
Kama Mtindi unakufanya uende haja kubwa basi kunywa maji glasi moja ya ya Uvuguvugu yaliyochanganywa na Asali safi kijiko kimoja kikubwa cha kulia wali na ukamulie juu yake limau kubwa moja fanya hivyo kila siku mwili wako utakuwa na Afya na kitambi kitakutoka na unene pia utakutoka utakuwa upo fresh fanya kila siku katika maisha yako.
I salute kwa ushauri wako,
Nitarejea na feedbacks inshallah baada ya walau mwezi mmoja. Shukran sana mkuu.
 
Safi sana MziziMkavu...ila ungewashauri tu hapo kwenye glass tatu za maji asubuhi inabidi mtu ajisikilizie anaendeleaje akianza kuzinywa. Mimi binafsi huwa nakunywa glass moja tu ya maji vuguvugu asubuhi...nilianza na glass tatu au nne asubuhi nikapata matatizo ya tumbo...wataalam wakasema maji mengi huwa yanakwangua tumbo kwa sababu tumbo unapoamka asubuhi linakuwa empty. Hii nadhani nayo inaendana na mtu na mtu kwani wengine nawafahamu wanakunywa hizo glass tatu lakini wana afya nzuri sana...! Kingine ni maji yenye ndimu asubuhi kabla ya chai...mimi ningeshauri pamoja na vitamin c kwenye ndimu , ni vizuri zaidi kama mtu akiyanywa maji yenye ndimu akiwa ameshiba/ametika kitu tumboni kwa sababu ndimu ina acid sana na si vizuri ukanywa maji yake wakati tumbo lipo empty kabisa(ingawa na hapa wapo wanaonkunywa na wanaafya tele)...!
Big up...!
 
hongera kwa hiyo mada, mi nilikuwa na kakitambi ila nilitumia hizo mbinu na kameanza kupungua.
 
Tukizama kwa makini tutaona ya kwamba Dini zote zimeharamisha nguruwe. Mfano tazama katika Biblia (Agano la Kale), Kitabu cha Walawi: "Na nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hachuei; kwenu

huyo ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama zao wala msiguse mizoga yao" (11: 7 - 8). Na katika Kitabu cha Isaya: "Mwenyezi Mungu asema hivi: 'Wapo watu waaojitakasa na kutawadha wapate

kuingia katika bustani za ibada za sanamu; wanafanya maandamano na kuhani akiwa kati yao. Watu hao hula nguruwe, panya na vyakula vingine haramu'"(66: 17).

Na katika agano jipya, Yesu anasema: "Msidhani kuwa nimekuja kutangua sheria na mafundisho ya manabii. Sikuja kutangua bali kukamilisha" (Mathayo 5: 17).

Na Qur-aan ipo wazi kabisa kuwa nyama ya nguruwe haifai kuliwa. Allaah Anasema:
"Yeye Amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilichotajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiyekuwa Mwenyezi Mungu" (2: 173).

Asante MziziMkavu kwa ushauri wako. Ni ushauri mzuri sana ijapokuwa nina maoni tofauti kwenye sehemu nilizoweka uwekundu.
Ukienda sehemu za Asia na Amerika ya kusini nguruwe ndiye mnyama anayeliwa kupita wanyama wote. Asia ndiko kwenye idadi kubwa ya watu duniani. Kwa wastani, watu wa Asia ndiyo wanaoishi miaka mingi kupita wote duniani. Kuna mataifa ya asia mtu usipokuwa na nguruwe basi wewe unahesabiwa ni masikini mno, huna hata 'kakuku'? Kama nguruwe angekuwa na madhara kwa binadamu madhara hayo hayawadhuru watu wa Asia?

Yesu hakuharamisha nguruwe. Ni kwenye kwenye biblia kuna agano la kale na agano jipya na Yesu alisema hakuja kutangua Torati bali kuimarisha, lakini ukumbuke alisema kuwa Najisi si Kile Kimwingiacho Binadamu Bali Kile Kimtokacho.

Mimi nadhani kwa maisha ya binadamu kila kitu kinatakiwa kifanywe kawa wastani (moderation). Kitu chochote ukukifanya kwa kupita mpaka kina madhara yake.
 
Mkuu hao wa Asia wanakula nyama hiyo ya Nguruwe wengi wao wanakufa vifo vya gafla na kupata Maradhi ya moyo na kupata maradhi ya ajabu ajabu kwa sababu ya huyo Mnyama aliyeharamishwa na Mwenyeezi Mungu wewe ukitaka kula huyo nguruwe shauri yako kula mwisho wake utauona.
 
Unajaribu kuwatisha watu,yule ambaye imani yake haimzuii mwacha ale kwani nguruwe hana madhara makubwa kama unavyojaribu kuwaaminisha watu,nyama ya nguruwe ipo kwenye kundi la nyama nyeupe ambazo mwilini mwa binadamu hazina madhara makubwa kama nyama nyekundu.
 
Nashukluru sana mkuu kwa thread yako nzuri.
na yenye maana sana ..

Binafsi nasema zaidi mazoezi, mazoezi na mazoezi ndo tiba kuu ya ku
poteza tumbo...
 
Tukizama kwa makini tutaona ya kwamba Dini zote zimeharamisha nguruwe. Mfano tazama katika Biblia (Agano la Kale), Kitabu cha Walawi: "Na nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hachuei; kwenu

huyo ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama zao wala msiguse mizoga yao" (11: 7 - 8). Na katika Kitabu cha Isaya: "Mwenyezi Mungu asema hivi: 'Wapo watu waaojitakasa na kutawadha wapate

kuingia katika bustani za ibada za sanamu; wanafanya maandamano na kuhani akiwa kati yao. Watu hao hula nguruwe, panya na vyakula vingine haramu'"(66: 17).

Na katika agano jipya, Yesu anasema: "Msidhani kuwa nimekuja kutangua sheria na mafundisho ya manabii. Sikuja kutangua bali kukamilisha" (Mathayo 5: 17).

Na Qur-aan ipo wazi kabisa kuwa nyama ya nguruwe haifai kuliwa. Allaah Anasema:
"Yeye Amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilichotajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiyekuwa Mwenyezi Mungu" (2: 173).

"si kimwingiacho mtu tumboni kimtiacho unajisi bali kimtokacho. Maana kimuingiacho hupita tumboni na kwenda kutupwa chooni, lakini kimtokacho ndicho kinachoujaza moyo. Moyoni hutoka husuda, ugomvi, wivu, tamaa mbaya, ibada ya sanamu etc". Sikumbuki ni mstari gani wa biblia umeaandika haya, but nataka kujaribu kuwarekebisheni tu kwamba Yesu alisharuhusu kula kila kitu.
Kuna mstari katika warumi unasema: chochote ufanyacho kwa imani kifanye iwapo nafsi yako haikuhukumu wala humkwazi mwenzako. Kula nguruwe si dhambi iwapo nafsi yako haikuhukumu na wala humkwazi jirani yako. Maana haifai jirani yako atende dhambi kwa ajili yako. Misitari nimeisahau. Lakini mkitaka evidence basi nitaitafuta hii misitari iliko.
 
Tumia majani na matunda kama Breakfast,lunch and dinner, extend hizo 3 ziwe tano,angalia hitaji la mlo wako kwa siku,gawa hicho cha kula cha siku mara tano,kunywa maji mengi sana,isiwe chini ya lita 3 kwa siku.

Waweza tumia mboga mboga na matunda kwa siku sita za juma,ndani ya hizo siku sita waweza kuchanganya na mshikaki mmoja mara moja ndani ya hizo siku sita.

siku ya saba waweza kula kiasi cha kukutosha cha carbohydrate.

ni hakika kama utasahau kula kula hovyo ukafuata ulaji wa aina hii utafanikiwa,usikae na njaa,kukaa na njaa hakusadii kupunguza mafuta mwilini
 
Kumbuka na kufanya mazoezi kunasaidia kupunguza kitambi pamoja na kuwa na nidhamu katika kula.
 
Back
Top Bottom