Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Aisee aje GYM huyu leo jioni. Ongea nae umuelekeze.Now am interested
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee aje GYM huyu leo jioni. Ongea nae umuelekeze.Now am interested
Njoo tukutane GYM nikupe tizi la kukata kitambi na Nutritional Facts.Picha ya kitambi mkuu haitokusaidia
[emoji23][emoji23][emoji23]....Aisee mattercore yanini kwaniNow am interested
Hebu tuone...pichaKalio lipo kuubwa TU...ila tumbo linaniharibia
Mwanzo nilikua narudi kwavile kuna watu walikua wananiquote now ni nitaendelea kurudi mpaka CreditAnalyst akubali tutrain wote.Aisee aje GYM huyu leo jioni. Ongea nae umuelekeze.
Kumbe ww ni chibonge mvivu eeeh , kumbe ndio maana ulikua hutaki kumfulia boyfriend wako, ww kumbe ni mvivu naturallyNikisema niuachie mwili wa urithi ntafika kg 130.. saiv na 84kg
Sa kwanini nikujibie hapa wakati tunaweza kuanza wote mazoezi na nikawa nakueleza taratibu taratibu mpaka unimanye[emoji23][emoji23][emoji23]....Aisee mattercore yanini kwani
Hapa tunazungumzia tumbo..Sio mattercore
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....nimecheka Sana..simfulii ng'o akatafute mwengine huko.Kumbe ww ni chibonge mvivu eeeh , kumbe ndio maana ulikua hutaki kumfulia boyfriend wako, ww kumbe ni mvivu naturally
Tutatrain wote wapi..siku hizi Naona wadada wananyanyua vyuma Aisee wanapendeza Sana...ila.mimi.vyuma Noo..Mwanzo nilikua narudi kwavile kuna watu walikua wananiquote now ni nitaendelea kurudi mpaka CreditAnalyst akubali tutrain wote.
I get your pointPunguza kwa kiasi kikubwa chakula cha wanga.hasa miubwabwa ubwabwa,michapatichapati,miandazi andazi na ,misodasoda majuice yale ya viwandani na vyakula vyote vinavyofanana na hayo.mavyakula ya hovyo sana.Yale mavyakula yanayovutia sana machoni yana madhara makubwa sana mwilini
Jitahidi sana kula unachopika mwenyewe achana na matake away ya aina yoyote.ikiwezekana usiku usile kabisa chakula chochote cha wanga.
Kikubwa ni kubadili life style.na hapa ndipo ugumu ulipo.
Yaani asikwambie mtu ,hata kama unafanya mazoezi halafu kula yako ni ya hovyo,mabadiliko utayaona kwenye majarida tuu
Mimi SI nimesema nimeumia Goti..Mkuu..Njoo tukutane GYM nikupe tizi la kukata kitambi na Nutritional Facts.
Hapana hautanyanyua chuma. Itakua viungo, roadwalking, sit ups na ishu zingine. Kwani si upo Dar au?Tutatrain wote wapi..siku hizi Naona wadada wananyanyua vyuma Aisee wanapendeza Sana...ila.mimi.vyuma Noo..
Dawa ya goti ipo, tutakufanyia diagnosis na kukutibia before hatujaanza tizi rasmi.Mimi SI nimesema nimeumia Goti..Mkuu..
Sipo Dar Mimi..nipo DomHapana hautanyanyua chuma. Itakua viungo, roadwalking, sit ups na ishu zingine. Kwani si upo Dar au?
Sawa...baaanaDawa ya goti ipo, tutakufanyia diagnosis na kukutibia before hatujaanza tizi rasmi.
Eish nimekosana na chansi ya kutrain pamoja.Sipo Dar Mimi..nipo Dom
Basi njoo kwangu , nakuhakikishia hicho kitambi kitaisha ndani ya muda mfupi [emoji1787][emoji1787], punguza kula chapati usiku, na usipende kuchelewa kula mida ya usiku, pia kula vyakula vyepesi usiku mfano matunda n.k[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....nimecheka Sana..simfulii ng'o akatafute mwengine huko.
Situmii pombe kabisa Yaaani... Hata nyama choma Ni Mara Moja moja... Chakula changu main Ni wali harage mboga za majani...chai Andazi au chapati.