Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Punguza kwa kiasi kikubwa chakula cha wanga.hasa miubwabwa ubwabwa,michapatichapati,miandazi andazi na ,misodasoda majuice yale ya viwandani na vyakula vyote vinavyofanana na hayo.mavyakula ya hovyo sana.Yale mavyakula yanayovutia sana machoni yana madhara makubwa sana mwilini

Jitahidi sana kula unachopika mwenyewe achana na matake away ya aina yoyote.ikiwezekana usiku usile kabisa chakula chochote cha wanga.

Kikubwa ni kubadili life style.na hapa ndipo ugumu ulipo.

Yaani asikwambie mtu ,hata kama unafanya mazoezi halafu kula yako ni ya hovyo,mabadiliko utayaona kwenye majarida tuu
 
Kumbe ww ni chibonge mvivu eeeh , kumbe ndio maana ulikua hutaki kumfulia boyfriend wako, ww kumbe ni mvivu naturally
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....nimecheka Sana..simfulii ng'o akatafute mwengine huko.
 
Punguza kwa kiasi kikubwa chakula cha wanga.hasa miubwabwa ubwabwa,michapatichapati,miandazi andazi na ,misodasoda majuice yale ya viwandani na vyakula vyote vinavyofanana na hayo.mavyakula ya hovyo sana.Yale mavyakula yanayovutia sana machoni yana madhara makubwa sana mwilini

Jitahidi sana kula unachopika mwenyewe achana na matake away ya aina yoyote.ikiwezekana usiku usile kabisa chakula chochote cha wanga.

Kikubwa ni kubadili life style.na hapa ndipo ugumu ulipo.

Yaani asikwambie mtu ,hata kama unafanya mazoezi halafu kula yako ni ya hovyo,mabadiliko utayaona kwenye majarida tuu
I get your point
 
Tutatrain wote wapi..siku hizi Naona wadada wananyanyua vyuma Aisee wanapendeza Sana...ila.mimi.vyuma Noo..
Hapana hautanyanyua chuma. Itakua viungo, roadwalking, sit ups na ishu zingine. Kwani si upo Dar au?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....nimecheka Sana..simfulii ng'o akatafute mwengine huko.
Basi njoo kwangu , nakuhakikishia hicho kitambi kitaisha ndani ya muda mfupi [emoji1787][emoji1787], punguza kula chapati usiku, na usipende kuchelewa kula mida ya usiku, pia kula vyakula vyepesi usiku mfano matunda n.k
 
Situmii pombe kabisa Yaaani... Hata nyama choma Ni Mara Moja moja... Chakula changu main Ni wali harage mboga za majani...chai Andazi au chapati.

Ukiweza acha wali, punguza portion ya chakula na usiku jitahidi sana ule matunda. Mwisho, hamna mbadala wa kuondoa kitambi bila mazoezi, unless uwe ni ugonjwa.
 
Back
Top Bottom