wagotheleopardskiller
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 299
- 457
Mi nipo tayari kujitolea mamilooNtamtafuta mjuba nimpe tenda.
Sent from my SM-N910W8 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nipo tayari kujitolea mamilooNtamtafuta mjuba nimpe tenda.
My bad. But I just wanted to show I've been in there longerAngalia vizuri, nilikuwa na 85 na kwa sasa nina 65 na urefu ni 169cm
Hujaona kilo zangu.si nimeziandikaMbona Avatar yako inaonyesha wewe ni wa kawaida,tena kipotabo?
Usijali utafikiriwa.
Kwani wema alifanya Nini...Mimi sijajua kilichompunguza..Dawa haziongezi tumbo...zinakufanya uwe na appetite Sana..alafu unakuwa sluggish ...yaani nguzu Huna...so unalala TU. Na kulaNasikitika kukwambia zile dawa ulizopewa zilienda kupanua utumbo na kulegeza fuse za tumbo ndio mana tumbo ni kubwa na bila shaka hata kula pia ili ushibe huwa unakula chakula kingi sana.
njia pekee yakuondoa hilo tumbo ni kufanya alichofanya wema sepetu,hakuna namna ingine unaweza ondoa hilo tumbo lakini kama unaweza kukaa bila kula pia ni sawa,jaribu.
Inashibisha lkn ngumu kumeza.Ngoja nikupe science facts, achana na upuuzi wa sijui vinywaji gani wanavyouza watu kukudanganya vinakata kitambi. Miaka 2 iliyopita nilikua na kilo 115, mwili wangu ulivyo mafuta mengi yalikua kwenye tumbo, watu tunatofautiana wapo ambao mafuta mengi wanatunza kwenye mapaja, wengine mgongoni e.t.c. Leo hii nina kilo 75, misuli tupu, fat imeshuka hadi 12% yaani six packs zinaonekana bila hata kuflex. Nimefikaje hapa?
Inabidi ubadilishe lifestyle lako asilimia 100, sitanii hiki ndicho kitu kigumu sana ambacho hata marafiki zangu mabonge wameshindwa kufanya.
1. Fanya mazoezi mno, mwanzoni uanze na full body workout siku tatu kila wiki, baada ya miezi miwili badilisha uanze kufanya siku tano kwa wiki, specilized kwa kila body part.
2. Kula, hili ni jambo muhimu sana kuliko yote na ndilo gumu ambalo 99% hua wanashindwa, inabidi uanze kuhesabu calories unazokula kila siku, vyakula ninavyorecommend ni vyenye protein sana, wanga kidogo, sukari kata 100%, yaani sitaki kusikia unagusa sukari, chai usiweke sukari, kupika chochote usiweke sukari, maandazi sijui nini vinavyowekewa sukari vyote kata 100%, ni ngumu ila baada ya miezi miwili ulimi unakua usharegister palete mpya ya taste unajikuta umezoea, mimi nakunywa chai bila sukari vizuri tu.
Kisayansi, kupunguza mwili inabidi calories zinazoingia mwilini ziwe ndogo kuliko ya zinazotumika, mwili kufanya kazi zake za kawaida kila siku unatumia calories flani, sasa ukila sana kuzidi calories ambazo mwili unahitaji unajikuta calories nyingine zilizobaki zinabadilika kua mafuta mwili unatafuta sehemu ya kuyatunza yanakaa hapo ukitegemea huko mbeleni labda utakuja kuyatuumia sehemu. Sasa ukiingiza calories ndogo mwilini kuliko mwili unazotumia mwili unakosa pa kupata calories nyingine unaanza kula mafuta uliyonayo na wakati mwingine misuli ili uendelee kufanya kazi.
Navyokwambia kula kidogo na fanya mazoezi kwa wakati moja ni kwa sababu kula kidogo kunafanya upate calories chini so mwili utatumia mafuta uliyonayo ili kufanya kazi zake za kawaida, na fanya mazoezi kwa sababu unavyojenga misuli mwili unakua unahitaji calories nyingi zaidi ili kujenga hiyo misuli, kwa hiyo unajikuta mwili wako unabadilika haraka sana kwa sababu unahitaji calories nyingi zaidi ila unaupatia calories ndogo zaidi ya ulivyozoea.
Mambo mengine yooote utaambiwa sijui tumia dawa gani sijui nini ni uongo mtupu, ni watu wanataka kuuza products zao wapige hela basi, hii ndiyo sayansi imefanya kazi miaka elfu kadhaa hadi leo kila mtu unayemuona ana mwili mzuri hii ndiyo principle anayofata basi hakuna kingine.
Na usiogope kufanya mazoezi kama ya kunyanyua vyuma, kama ni mwanamke ukinyanyua vyuma haimaanishi utakua na mwili wa kiume, huna hormone za kiume za kufanya mwili wako uwe mkubwa hivyo, utaishia kua sexy tu basi, wanawake unaoona wana misuli imejaa wengi wanatumia hormone za kiume kuboost. Mazoezi mwanzoni yanauma mno, mimi siku ya kwanza nimefanya mazoezi ya miguu sikuweza kutembea wiki nzima.
Acha kula ugali, ile ni pure carbohydrate, inabadilika kirahisi sana kua fat, kama huwezi basi kula kidogo sana, zidisha mboga hasa nyama, pendelea kuku kuliko nyama nyingine, hasa chicken breast sababu inaprotein nyingi mno, maharage pia, ukijisikia kunywa chai achana na ya maziwa, tumia ya rangi, weka majani ya chai usiweke sukari au kuongeza kitu chochote kunywa hivyo hivyo, ka vipi kata breakfast kabisa ule lunch na dinner tu, na haimaanishi ule kama unakula msosi wa kijiji kizima, ule kidogo tu, calories kama 1500 zinatosha kabisa kwa siku. Fanya hivyo alafu nunua mizani jipime kila wiki utashangaa kila mwezi unapunguza sio chini ya 4kg. Unaweza uliza kama unataka tips za jinsi ya kufanya mazoezi.
TLDR Eat less, Workout more.
Tafadhali kua mvumilivu mno, huwezi ona results ndani ya wiki mbili, results utaanza kuziona kama umekomaa angalau kuanzia miezi miwili mitatu. Na kua sexy kabisa itachukua miaka miwili au zaidi kulingana na wewe mwenyewe umeanzia wapi. Start now, usipoanza leo hutoanza.
Duh, tumbo linaharibu section B (structure )Kalio lipo kuubwa TU...ila tumbo linaniharibia
OkDuh, tumbo linaharibu section B (structure )
Napenda singeli.... Tena Kuna mmoja inaitwa Nakuja ya Balaa MC..hua naicheza sanCheza sana YOPE
Hii ni tiba ambayo nimeona mtu wangu wa karibu alikua anaitumia yani yeye kila siku usiku anakula ndizi tano na maziwa mtindi basi, hali chakula kingine pia asubuhi na jioni anaingia gym, yeye alipewa ushauri na daktari apunguze kg Baadae ya kuonekana Ana presha AhsanteMimi Ni Ke..Nina tumbo kuubwa, nimejaribu njia Tofauti Tofauti ila sijapata matokeo.
Nlikua nafanya mazoezi na nikipata matokeo chanya ..ila nikashtuka goti..nikifanya mazoezi linauma goti.
Je nitumie.njia gani.mbadala wa mazoezi ili nifikie lengo.
.nakosa confidence na hili tumbo langu.
N.B Picha Siwezi tuma kwa wale wapenda picha.
Dada mkubwa am missing you so much![emoji17][emoji17][emoji17]Mwili ni chakula
What do you eat?..chips sana?.wali sana?
Choose wisely from food groups
Portions?..unakula sana?
kula kawaida tu u wont die
Am suprised wafanya diet wanapoanza kula michemsho,mboga mboga na matunda
Wengine hayo ndo maisha yetu ya kila siku miaka nenda rudi
I am one of those people ambao for the last 10 yrs sijabadilika sana...i eat everything but nikiwa na njaa tu...sili 3 times a day kila siku...i enjoy kula nikiwa na hamu na kitu fulani...na nikila ni portion za kawaida tu, kushiba kunaninyima raha
i try to have protein and veggies zaidi and smtimes i drink juice/water only tu to free my body
And dont forget Wine[emoji14]
Ama kweli mwili ni chakulaNina mdogo wangu yeye alikuwa kibonge, aliwahi kutumia slim tea, siju vidonge vya fat burner lakini havikumsaidia. ila amekuja na formula ambayo sasa kila mtu akimuona anamshangaa jinsi alivokonda. Siku 3 anakunywa maji tu (sio ya baridi), hakuna chengine, ni maji matupu, halafu siku moja anakula anachotaka kwa kiasi akitakacho. Jaribu na wewe huenda ikakusaidia
I miss youu toooo😘Dada mkubwa am missing you so much![emoji17][emoji17][emoji17]
SIKU tatu nafanya water fasting..kwa Muda gani au ndo lifestyleNina mdogo wangu yeye alikuwa kibonge, aliwahi kutumia slim tea, siju vidonge vya fat burner lakini havikumsaidia. ila amekuja na formula ambayo sasa kila mtu akimuona anamshangaa jinsi alivokonda. Siku 3 anakunywa maji tu (sio ya baridi), hakuna chengine, ni maji matupu, halafu siku moja anakula anachotaka kwa kiasi akitakacho. Jaribu na wewe huenda ikakusaidia
Nakubaliana na wewe kabisa,Ngoja nikupe science facts, achana na upuuzi wa sijui vinywaji gani wanavyouza watu kukudanganya vinakata kitambi. Miaka 2 iliyopita nilikua na kilo 115, mwili wangu ulivyo mafuta mengi yalikua kwenye tumbo, watu tunatofautiana wapo ambao mafuta mengi wanatunza kwenye mapaja, wengine mgongoni e.t.c. Leo hii nina kilo 75, misuli tupu, fat imeshuka hadi 12% yaani six packs zinaonekana bila hata kuflex. Nimefikaje hapa?
Inabidi ubadilishe lifestyle lako asilimia 100, sitanii hiki ndicho kitu kigumu sana ambacho hata marafiki zangu mabonge wameshindwa kufanya.
1. Fanya mazoezi mno, mwanzoni uanze na full body workout siku tatu kila wiki, baada ya miezi miwili badilisha uanze kufanya siku tano kwa wiki, specilized kwa kila body part.
2. Kula, hili ni jambo muhimu sana kuliko yote na ndilo gumu ambalo 99% hua wanashindwa, inabidi uanze kuhesabu calories unazokula kila siku, vyakula ninavyorecommend ni vyenye protein sana, wanga kidogo, sukari kata 100%, yaani sitaki kusikia unagusa sukari, chai usiweke sukari, kupika chochote usiweke sukari, maandazi sijui nini vinavyowekewa sukari vyote kata 100%, ni ngumu ila baada ya miezi miwili ulimi unakua usharegister palete mpya ya taste unajikuta umezoea, mimi nakunywa chai bila sukari vizuri tu.
Kisayansi, kupunguza mwili inabidi calories zinazoingia mwilini ziwe ndogo kuliko ya zinazotumika, mwili kufanya kazi zake za kawaida kila siku unatumia calories flani, sasa ukila sana kuzidi calories ambazo mwili unahitaji unajikuta calories nyingine zilizobaki zinabadilika kua mafuta mwili unatafuta sehemu ya kuyatunza yanakaa hapo ukitegemea huko mbeleni labda utakuja kuyatuumia sehemu. Sasa ukiingiza calories ndogo mwilini kuliko mwili unazotumia mwili unakosa pa kupata calories nyingine unaanza kula mafuta uliyonayo na wakati mwingine misuli ili uendelee kufanya kazi.
Navyokwambia kula kidogo na fanya mazoezi kwa wakati moja ni kwa sababu kula kidogo kunafanya upate calories chini so mwili utatumia mafuta uliyonayo ili kufanya kazi zake za kawaida, na fanya mazoezi kwa sababu unavyojenga misuli mwili unakua unahitaji calories nyingi zaidi ili kujenga hiyo misuli, kwa hiyo unajikuta mwili wako unabadilika haraka sana kwa sababu unahitaji calories nyingi zaidi ila unaupatia calories ndogo zaidi ya ulivyozoea.
Mambo mengine yooote utaambiwa sijui tumia dawa gani sijui nini ni uongo mtupu, ni watu wanataka kuuza products zao wapige hela basi, hii ndiyo sayansi imefanya kazi miaka elfu kadhaa hadi leo kila mtu unayemuona ana mwili mzuri hii ndiyo principle anayofata basi hakuna kingine.
Na usiogope kufanya mazoezi kama ya kunyanyua vyuma, kama ni mwanamke ukinyanyua vyuma haimaanishi utakua na mwili wa kiume, huna hormone za kiume za kufanya mwili wako uwe mkubwa hivyo, utaishia kua sexy tu basi, wanawake unaoona wana misuli imejaa wengi wanatumia hormone za kiume kuboost. Mazoezi mwanzoni yanauma mno, mimi siku ya kwanza nimefanya mazoezi ya miguu sikuweza kutembea wiki nzima.
Acha kula ugali, ile ni pure carbohydrate, inabadilika kirahisi sana kua fat, kama huwezi basi kula kidogo sana, zidisha mboga hasa nyama, pendelea kuku kuliko nyama nyingine, hasa chicken breast sababu inaprotein nyingi mno, maharage pia, ukijisikia kunywa chai achana na ya maziwa, tumia ya rangi, weka majani ya chai usiweke sukari au kuongeza kitu chochote kunywa hivyo hivyo, ka vipi kata breakfast kabisa ule lunch na dinner tu, na haimaanishi ule kama unakula msosi wa kijiji kizima, ule kidogo tu, calories kama 1500 zinatosha kabisa kwa siku. Fanya hivyo alafu nunua mizani jipime kila wiki utashangaa kila mwezi unapunguza sio chini ya 4kg. Unaweza uliza kama unataka tips za jinsi ya kufanya mazoezi.
TLDR Eat less, Workout more.
Tafadhali kua mvumilivu mno, huwezi ona results ndani ya wiki mbili, results utaanza kuziona kama umekomaa angalau kuanzia miezi miwili mitatu. Na kua sexy kabisa itachukua miaka miwili au zaidi kulingana na wewe mwenyewe umeanzia wapi. Start now, usipoanza leo hutoanza.
Siku tatu ndefu sana mama usije zimia😅SIKU tatu nafanya water fasting..kwa Muda gani au ndo lifestyle