VictoriaGreenHerbal
Member
- Mar 7, 2025
- 65
- 88
Dawa ya Kuondoa Michirizi Kwenye Ngozi ✨
Michirizi kwenye ngozi (stretch marks) ni tatizo linalowasumbua watu wengi. Mara nyingi husababishwa na:- Unene uliopitiliza 🏋️
- Kupungua uzito ghafla
- Baada ya kujifungua 🤱
- Matumizi ya vipodozi vyenye kemikali
- Mabadiliko ya homoni na urithi wa kimaumbile
Lakini habari njema ni kwamba kuna tiba rahisi ya asili ambayo unaweza kuandaa nyumbani bila gharama kubwa.
Vitu Unavyohitaji
- Mafuta ya nazi
- Kitunguu maji
- Sukari
Jinsi ya Kutengeneza
- Andaa kitunguu — kata vipande viwili.
- Chukua kipande kimoja — kisage kiwe uji, kisha changanya na sukari.
- Chukua kipande kingine — kichovye kwenye ule mchanganyiko wa kitunguu + sukari.
Matumizi
- Paka sehemu yenye michirizi ukitumia kipande cha kitunguu kilichochovywa.
- Fanya massage ndogo kwa dakika 5–10.
- Acha ikauke, kisha suuza kwa maji ya kawaida.
- Baada ya hapo paka mafuta ya nazi ili kurudisha unyevu na kulainisha ngozi.
Matokeo Unayotarajia
- Michirizi kufifia hatua kwa hatua
- Ngozi kuwa nyororo na yenye mvuto zaidi
- Kuongezeka kwa kujiamini
Victoria Green Herbal tupo kwa ajili yako. Tunayo dawa ya asili ya kuondoa mabaka na michirizi ambayo imethibitishwa kuleta matokeo ndani ya siku tano tu!
Ofisi yetu ipo Mkolani, Mwanza.
Kwa wateja walioko mbali, tunatuma dawa mikoa yote. Piga simu au WhatsApp: +255747558143