Jinsi ya Kuongea na Ndugu Yako Aliyekufa

Hakuna kitu kama hicho...!
Kuna Family Spirit ambazo ndiyo Huwa Zina act kama Mizimu, ama mtu Fulani katika familia aliyekufa.

Kama Babu Yako, Mama Yako, Bibi au Babu Yako walikufa na hawakuwa Wachawi Wala Waganga, huko walipo hawana uwezo Tena wa kuongea na Yeyote aliye hai Kwa njia yoyote.

Kama Babu, Bibi, Mama ama Baba ama Yeyote katika Familia alikufa akiwa Mchawi ama Mganga wa Kienyeji, then Ile Spirit iliyokua inafanya kazi nyuma yake (Majini)
Ndiyo hujivika ama kuigiza kwamba ni Mizimu, atajitamburisha Kama Marehemu Ndugu Yako iwe Babu aq Bibi ama yoyote, na atataka Mfanye matambiko ya Mizimu, mtafanya mikijua tunafanya vile Mizimu wa Mababu zetu unasema, kumbe ni Family Spirit/Majini ya familia ndiyo yanawadanya.

Family Spirit zimekuepo Toka zamani, Toka Ukoo wenu unaanza, wanajua historia yenu Toka labda kazazi chenu Cha 10, wanajua madhaifu ya Kila Mtu.

Unapoenda Kwa Mganga, hizo family Spirit ndiyo huileza Spirit Ile ya Mganga kuhusu Changamoto zako na za familia zako, coz hiyo Spirit inaama Toka mtu mmoja mpaka mwingine.

Mnadanganywa mikijua mnaongea na Ndugu Yako aliyekufa kumbe ni Majini ya familia, hasa Kwa familia ambazo hazijampokea Yesu....!
Shetani ni Muongo siku zote.

Hizi mambo za kuongea na Wafu ama kutambika Mizimu ni kutafuta matatizo tu...!
 
Necromancy: Ni utaalamu wa kuongea na "wafu". Lakini ijulikane kuwa hakuna wafu wanaweza kuongea na mtu aliye hai. Na kinachofanyika hapo ni kwamba mfu huyo anaweza kutokea kweli lakini ukweli ni kwamba huyo ni jini na ujiandae kwa madhara mbalimbali baaday ya hapo na utaishia kuomba msaada kwa waganga wa kienyeji na kama una bahati basi utapata msaaada kutoka kwa watumishi wa Yesu Kristo.
 
Mweee! Kama kati ya vifaa vinavyohitajika hakuna Bangi zoezi hilo ni batili kabisa. Utabaki na mamichele yako boga na mziki kwani pombe utakuwa umeshagida yote.
 
Thibitisha
 
Ife/vaave Mangi Ruwa njambombe,

Tuininge safo mbora,

Vaininge mbora tsa mwavo vasero na vafele vya mwavo, va li kaa/kanyi, fo mwai, fo kasini, biashareni, vatotoliye utavakirye...

Njambombe Mangi Ruwa vaininge mbora tsafo, vaka Fuga umbe siree molisa, vakamue maruvaa,

Vakafunga nguku vatotoe mayai na mabore,

rua mko tsa besa, mafanikio

Varinge atave msavi/ wala mndu m-mbishwa/m-kasha atavalolye......

Hai na hai
 
Ahsante sana Mkuu.. Umeeleza vizuri sana kuhusu hizi mambo zinavyooperate.. Nimeelewa vizuri. Mwenye akili na aelewe.
 
HAHAHAHAH.... Mambo ya mwezi wa kumi na mbili hayoo... Mwezi wa 12 haufiki tu tukahesabiwe jomoni???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…