Kwahiyo sehemu zengine mizimu sio mpaka wawe waliyokufa ni waganga au wachawi?Kila sehemu Shetani ana namna yake ya kuwafikia Watu wake....!
Kwa tafasiri ya kawaida, Mizimu ni Spirit za Ndugu zetu waliokufa zamani ila spirit zao zinaishi....!Kwahiyo sehemu zengine mizimu sio mpaka wawe waliyokufa ni waganga au wachawi?
Mimi najaribu kukuonyesha na upande mwengine wa shilingi katika jambo hili, ndio maana nakwambia kwamba suala la la spirit sio lazima iwe mizimu tu na kuhusika mambo ya matambiko hayo ni mambo ya kiafrika kwa sana ila wenzetu wanaita la roho za watu wao waliyokufa pasina kuhusika mambo ya kutambikia mizimu yani wao ndio wanaita hizo spirits kwa kutaka kuwasiliana nao na si kwamba mizimu hutokea na kudai hivi wala vile.Kwa tafasiri ya kawaida, Mizimu ni Spirit za Ndugu zetu waliokufa zamani ila spirit zao zinaishi....!
Lakini Mtu anapokufa hakuna nafasi ya Spirit yake kurudi Duniani Kwa kigezo Cha kuiangalia familia....! Spirit&Soul za huyo Mtu baada ya Kifo ni straight kwenda kusubiri Hukumu, Yani Hilo ni Jukumu la Mungu mwenyewe, Shetani mwenyewe Hana uwezo kuingilia.
Kinachotokea ni kwamba hao Watu wenye Sifa za Wachawi na Waganga Huwa Kuna Nguvu za Majini nyuma Yao zinazofanya kazi, wanapokufa hizo Spirit/Majini ndiyo huanza kudanganya familia na Mtu mmoja mmoja katika familia kwamba wao Mizimu wa Mzee flani wamemteua mtu Fulani ili abebe nguvu za Marehemu etc... so wanachofanya ni kudanganya tu ili muanze kuchinja Wanyama hata Binadamu Kwa ajiri Yao, na Kwa kufanya hivyo mnazipa Nguvu hizo Spirit.
Kwa mfano mdogo, nadhani unamsikia Marehemu Moses Kulola Marehemu, hakutakuja siku eti kwenye Ukoo wake kukatokea Spirit zikaanza kusema ni Mizimu wa Mzee Kulola anataka wafanye Matambiko, Kwa Nini Kwa sababu Kwa Utumishi wake Kwa Mungu hakukua na Nguvu yoyote ya Majini nyuma yake, alikua ameokoka na Sasa ameondoka hakutakua Tena na Spirit za Mijini yake kwenye Kizazi chake.
Daaah Shukrani sana Mkuu, nimezidi kuelewa sasa. Nimesoma nikirelate na experience binafsi, ni mulemule ndicho kinachotokea.Shukrani....!
Kile watu hawaelewi, Binadamu wenyewe ndiyo wanawapa Nguvu hayo Majini wakijua ni Mizimu.
Mfano:
Babu Yako alikua na Majini akiamini ni Mizimu ya Ukoo, Babu kafa, katika Watoto wake, hakuna hata mmoja anayeenda kutambika, yale Majini Sasa yanakosa Nguvu, coz majini yaahitaji Damu na mambo mengine ili yawe na Nguvu na kuweza Survive, yaachofanya ni kutafuta Wajukuu watoto, wanaangalia nani wamwingie, hawaingii Kwa Yeyote tu, wanaangalia mwenye Channel ama mwenye Nyota Kali (That's why sio Kila Mtu tu anaweza kuwa Mchawi ama Mganga, lazima uwe na chanell)
Unakuta Mtoto mdogo ana Akili anafanya vizuri shuleni, ghafla anaanza kupandisha Mapepo, masomo yanashuka, kosa Wazazi wanafanya wanampeleka Kwa Mganga, kumbuka nguvu iliyo nyuma ya Mtoto, na Nguvu iliyo nyuma ya Mganga, source ni Moja.
Mganga anasema Mizimu ya Baba inataka mkatambike, then mnaamua kwenda kutambika, hapo ndo mmekua mmelipa nguvu lile Jini, mmeliimarisha, mtakua Watumwa, Makosa kidogo, Ukoo Mzima utateseka.
Kuna Koo Leo Zina Laana Kwa sababu ya kuabudu hizi mambo za Mizimu, Kuna familia hazitoboi, ikitokea ni mmoja ama wawli tu, na Hawa walitafuta msaada.
Kuna familia Wanawake hawaolewi.
Kuna familia Kila wakifika Umri Fulani wanakufa.
Yote ni sababu ya kuabudu Majini mikijua ni Mizimu.
Shetani hanaga Nisamehe sirudii Tena, Shetani hanaga huruma.
Uliongea nao kwa kutumia njia gani? njia hii hii iliyoelezwa hapa?Hizi mambo za kuongea na Marehemu nimezikuta South Africa, Mimi pia nilishiriki nikijua naongea na Wapendwa wangu waliokufa....!
Ila baada ya miaka mingi macho yangu ya kiroho yakafunguka, nikaanza kuona vile ambavyo macho ya kawaida hayawezi kuona....! Nikaujua Ukweli.
Na hao Waafrika si wanatoa kwa waarab, mwarab bila kufuga majini inawezekana kweli?Hiyo mitazamo ni ya waafrika.
Kama haiwezekani waarabu kukaa bila kufuga majini basi niambie waarabu ambao sio waislamu wao wanafuga hayo majini kwa sababu zipi?Na hao Waafrika si wanatoa kwa waarab, mwarab bila kufuga majini inawezekana kweli?
Majini ni kwa ajili ya Waislam, Waarab Wakristu hawafugi majiniKama haiwezekani waarabu kukaa bila kufuga majini basi niambie waarabu ambao sio waislamu wao wanafuga hayo majini kwa sababu zipi?
Bia yoyote ambayo kiwango cha kilevi (alcohol) hakipungui 4 wala kuzidi 6.Bia nne je za aina gani keupe , Balimi ,Serengeti au IPI??
Hapana mkuu. Nazi haina network. Nazi hutumika katika mambo ya ulozi kama kumletea balaa mbaya wako. Mfano kupasua nazi katika biashara ya mwenzako n.k.Hapo kwenye boga kama hawana watumie pia Nazi .✅🤣
Nilichomekea tu kaka🤣🤣Hapana mkuu. Nazi haina network. Nazi hutumika katika mambo ya ulozi kama kumletea balaa mbaya wako. Mfano kupasua nazi katika biashara ya mwenzako n.k.
Si ulisema waarabu hawawezi kukaa bila kufuga majini?sasa hivi tena ni waislamu sio waarabu?Majini ni kwa ajili ya Waislam, Waarab Waislam hawafugi majini