Jinsi ya Kuongea na Ndugu Yako Aliyekufa

Sasa mkuu kwenye ndoto utawezaje kuuliza hayo maswali au unazungumzia ndoto za lucid dreams?
 
Hiyo kwa kiafrika zaidi ila ni tofauti na kwa wenzetu huko ambako wanaenda kwa mediums ili waweze kuwasiliana na ndugu zao waliyokufa na wala hakuna huko mambo ya mizimu kutambika.
 
Eti na hii ni ilmu na dini? Acha waarabu wawadharau bure. Unaongea naye ili iweje wakati alishajiondokea?
 
Ukiijua qur'an ni raha sana huu upumbavu wako hpa unajibiwa na aya moja tu kwenye qur'an

{ إِن تَدۡعُوهُمۡ لَا یَسۡمَعُوا۟ دُعَاۤءَكُمۡ وَلَوۡ سَمِعُوا۟ مَا ٱسۡتَجَابُوا۟ لَكُمۡۖ وَیَوۡمَ ٱلۡقِیَـٰمَةِ یَكۡفُرُونَ بِشِرۡكِكُمۡۚ وَلَا یُنَبِّئُكَ مِثۡلُ خَبِیرࣲ }
[Surah Fāṭir: 14]
Mkiwaomba hawasikii maombi yenu; na hata wakisikia hawakujibuni. Na Siku ya Kiyama watakataa ushirikina wenu. Na hapana atakaye kupa khabari vilivyo kama Yeye Mwenye khabari.
 
Umejuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…