Jinsi ya Kuongea na Ndugu Yako Aliyekufa

Kwahiyo sehemu zengine mizimu sio mpaka wawe waliyokufa ni waganga au wachawi?
Kwa tafasiri ya kawaida, Mizimu ni Spirit za Ndugu zetu waliokufa zamani ila spirit zao zinaishi....!

Lakini Mtu anapokufa hakuna nafasi ya Spirit yake kurudi Duniani Kwa kigezo Cha kuiangalia familia....! Spirit&Soul za huyo Mtu baada ya Kifo ni straight kwenda kusubiri Hukumu, Yani Hilo ni Jukumu la Mungu mwenyewe, Shetani mwenyewe Hana uwezo kuingilia.

Kinachotokea ni kwamba hao Watu wenye Sifa za Wachawi na Waganga Huwa Kuna Nguvu za Majini nyuma Yao zinazofanya kazi, wanapokufa hizo Spirit/Majini ndiyo huanza kudanganya familia na Mtu mmoja mmoja katika familia kwamba wao Mizimu wa Mzee flani wamemteua mtu Fulani ili abebe nguvu za Marehemu etc... so wanachofanya ni kudanganya tu ili muanze kuchinja Wanyama hata Binadamu Kwa ajiri Yao, na Kwa kufanya hivyo mnazipa Nguvu hizo Spirit.

Kwa mfano mdogo, nadhani unamsikia Marehemu Moses Kulola Marehemu, hakutakuja siku eti kwenye Ukoo wake kukatokea Spirit zikaanza kusema ni Mizimu wa Mzee Kulola anataka wafanye Matambiko, Kwa Nini Kwa sababu Kwa Utumishi wake Kwa Mungu hakukua na Nguvu yoyote ya Majini nyuma yake, alikua ameokoka na Sasa ameondoka hakutakua Tena na Spirit za Mijini yake kwenye Kizazi chake.
 
Mimi najaribu kukuonyesha na upande mwengine wa shilingi katika jambo hili, ndio maana nakwambia kwamba suala la la spirit sio lazima iwe mizimu tu na kuhusika mambo ya matambiko hayo ni mambo ya kiafrika kwa sana ila wenzetu wanaita la roho za watu wao waliyokufa pasina kuhusika mambo ya kutambikia mizimu yani wao ndio wanaita hizo spirits kwa kutaka kuwasiliana nao na si kwamba mizimu hutokea na kudai hivi wala vile.

Hata kwenye biblia tunaona Sauli alienda kwa medium ili amuitie mzimu wa Samweli na kweli huo mzimu Samweli ukaja. Kwahiyo kuita mzimu pia hata watu waliyokuwa wema pia mizimu yao hutokea na wenzetu huwaita ni Ascended masters. mfano Jesus,Buddha,Mother Mary, na hata wale waliyokuwa mashughuli na kufanya mambo makubwa.
 
Daaah Shukrani sana Mkuu, nimezidi kuelewa sasa. Nimesoma nikirelate na experience binafsi, ni mulemule ndicho kinachotokea.
 
Uliongea nao kwa kutumia njia gani? njia hii hii iliyoelezwa hapa?
Macho yako ya kiroho yalifungukaje?
 
Na hao Waafrika si wanatoa kwa waarab, mwarab bila kufuga majini inawezekana kweli?
Kama haiwezekani waarabu kukaa bila kufuga majini basi niambie waarabu ambao sio waislamu wao wanafuga hayo majini kwa sababu zipi?
 
Bia nne?? Si nitakua nimeshalewa
Kuna haja gani ya kuamsha wafu?
 
Kama haiwezekani waarabu kukaa bila kufuga majini basi niambie waarabu ambao sio waislamu wao wanafuga hayo majini kwa sababu zipi?
Majini ni kwa ajili ya Waislam, Waarab Wakristu hawafugi majini
 
Sasa mm jinaekunywa bia 2 naanza kutukana hovyo nikinywa hizo 4 akija si nitampiga kabisa .
Ukute ndugu mwenyewe mnywaji sasa akifika chakwanza kibao anaanza kunituhumu mm mchoyo nimekunywa zote
 
Hapo kwenye boga kama hawana watumie pia Nazi .✅🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…